Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza, povery rate kenya si 50% lakini wacha tupuuze hiyo,
population kenya ni 52 mil ambayo 50% ni 26 mil
Sasa bongo extreme poor people ni 28 mil bila kuhesabu wale wengine😁

Tafakari hayo, 😂😂😂
Africab Tower Kilwa Road. Dar kila kona inajengwa.
tapatalk_1598114578602.jpeg
2020-09-15.jpg
 
Kwanza, povery rate kenya si 50% lakini wacha tupuuze hiyo,
population kenya ni 52 mil ambayo 50% ni 26 mil
Sasa bongo extreme poor people ni 28 mil bila kuhesabu wale wengine

Tafakari hayo,
Tz
Milioni 60-28 = 32

Kenya
Milioni 52-26 = 26

Kwahiyo Tz watu ambao co maskini ni milioni 32 wkt Kenya watu ambao co maskini ni milioni 26 tu.

Kwnn mnashindwa hesabu ndogo hivi?
 
Nairobi hamuifikii Zimbabwe. 🤣 🤣🤣 Umekosa picha za Nairobi unaanza kuiba za Harare.
Low IQ like always, huu mjadala umeanza na best007 alipo tucompare na zim, little did he know zim is above lazyland. Next time usiingilie vita huvijui, utakufa bure
 
Hehehehee utafanya akimbie tena humu
Hizi povu zote zimesababishwa na huu mwiba.
Screenshot_20210514-141737~2.png

And the best part is that there's nothing you can do about it. You can only scream at the top of your voices from your abodes in Mwananyamala and Gongolamboto but nothing will ever change
Nyie level zenu zimbabwe ,hapo ulipo unaombea TZ iwafutie work permit mkimbie umaskini uliojaa kunyaland

Ile sura yake ukiona utajua tu huyu anatamani afutiwe work permit atoke migori aingie bongoland
 
Tz
Milioni 60-28 = 32

Kenya
Milioni 52-26 = 26

Kwahiyo Tz watu ambao co maskini ni milioni 32 wkt Kenya watu ambao co maskini ni milioni 26 tu.

Kwnn mnashindwa hesabu ndogo hivi?
Like I said earlier kenya poverty rate is 26% sio 50%
26% ya 52 mil ni 13 mil, watu inje ya poverty ni 39 mil
Bongo inje ya poverty ulivosema ni 32

Population yenu ni kubwa lakini tumewashinda in raw numbers, tafakari hayo
 
Sio mmoja mkuu,85% ya wakunya wanatamani sana kufanya kazi Tanzania ndio maana uhunye aliwaombea free work permit kiujanja ila bi mkubwa machale yakamcheza
Sababu employers kwenu wanataka wakenya specifically😁😆 kuna mbongo kule politics section alisema aliomba kazi hotelini akanyiwa lakini wakenya wanandikwa kila siku.
 
Back
Top Bottom