Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanafurahia wakati wao extreme poverty ni watu mil 28 tena wamepimwa kwa kigezo kidogo sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] je wakipimwa na kigezo chetu itakuaje. Tafakari hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupima nn ss kwn vitu c vinaonekana on ground au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe na hao wenzako hamna tofauti - wote vilaza tu. Piga hesabu upate 40% ya wakenya ni watu wa ngapi kisha linganisha na 28 million people in Tanzania ambao wameshadhibitishwa kuishi under extreme poverty. Na kumbuka yenu ni extreme poverty
Nyie level zenu zimbabwe ,hapo ulipo unaombea TZ iwafutie work permit mkimbie umaskini uliojaa kunyaland
 
Nyie level zenu zimbabwe ,hapo ulipo unaombea TZ iwafutie work permit mkimbie umaskini uliojaa kunyaland
Do you know zimbabwe is better than lazyland despite crippling sanctions
images (10).jpeg
images (8).jpeg
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba 50% of Kenyans are below poverty line au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza, povery rate kenya si 50% lakini wacha tupuuze hiyo,
population kenya ni 52 mil ambayo 50% ni 26 mil
Sasa bongo extreme poor people ni 28 mil bila kuhesabu wale wengine😁

Tafakari hayo, 😂😂😂
 
Back
Top Bottom