Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sababu employers kwenu wanataka wakenya specifically😁😆 kuna mbongo kule politics section alisema aliomba kazi hotelini akanyiwa lakini wakenya wanandikwa kila siku.
Beauty of Dar
IMG_20201203_175243.jpg
IMG_20201004_165147.jpg
IMG_20201004_165145.jpg
IMG_20201004_165142.jpg
IMG_20200925_084907.jpg
IMG_20200925_191930.jpg
IMG_20200925_191927.jpg
IMG_20201004_165149.jpg
 
Tz
Milioni 60-28 = 32

Kenya
Milioni 52-26 = 26

Kwahiyo Tz watu ambao co maskini ni milioni 32 wkt Kenya watu ambao co maskini ni milioni 26 tu.

Kwnn mnashindwa hesabu ndogo hivi?
Umenikumbusha hesabu moja ya kukata na shoka aliypiga mwenzako Venus Star kwenye uzi fulani hapa. Yani you people are just cut from the same cloth. Kiukweli hivi ndivyo mnafundishwa?
 
Back
Top Bottom