Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Coco reborn
Dar ni moto Mzee
Utaumia
🤣 🤣🤣
IMG_20210101_114130.jpg
IMG_20210111_191240.jpg
IMG_20210113_185010.jpg
IMG_20210113_185016.jpg
IMG_20210101_123207.jpg
 
Like I said earlier kenya poverty rate is 26% sio 50%
26% ya 52 mil ni 13 mil, watu inje ya poverty ni 39 mil
Bongo inje ya poverty ulivosema ni 32

Population yenu ni kubwa lakini tumewashinda in raw numbers, tafakari hayo
Kwahiyo statistics za credible sources huzitaki unataka zako au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji205][emoji90]
 
Umenikumbusha hesabu moja ya kukata na shoka aliypiga mwenzako Venus Star kwenye uzi fulani hapa. Yani you people are just cut from the same cloth. Kiukweli hivi ndivyo mnafundishwa?
Sasa umeleta mwenyewe zen now hutaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji375][emoji419]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nini kimetokea.
picha ya kwanza ndio mazingira ya mamantilie, ipo karibu sana na ile mijengo yao ya minara
picha ya pili ndio parking zao ivo.. wazee wa "ultra" 😂
yaan ungekuepo uku kaka nadhan huu utashi wako wa picha😂 pasingetosha apa nakwambia
 
picha ya kwanza ndio mazingira ya mamantilie, ipo karibu sana na ile mijengo yao ya minara
picha ya pili ndio parking zao ivo.. wazee wa "ultra" [emoji23]
yaan ungekuepo uku kaka nadhan huu utashi wako wa picha[emoji23] pasingetosha apa nakwambia
Siku moja kuna mkunya alimuuzi Tony254 basi tony akamwambia yule Mkunya kwamba Watz hawajui uozo mwingi wa hapa Kenya kwahiyo ukiendelea nitaweka uozo wote hapa, basi nilistuka sn yn kwamba haya madudu yote yanayopostiwa humu kuhusu Kenya kumbe ni cha mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom