tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,198
Miradi yote inaendelea kabadilika Press tu vitakavyochange ni mambo mengineIla jpm kutuacha pabaya we imagine mzee alisema kwamba Dar ndio alikua anaanza kuijenga alikua anataka ikifika 2025 Dar nzima imepigwa lami au zege, mitaa yote ya uswazi alikua anapiga lami na taa juu