Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa sitaki watu wapige kelele

KIWANDA CHA MAGARI MAPYA CHA GF VEHICLES ASSEMBLERS CHATENGENEZA MAGARI 100 KWA MIEZI MINNE YA KWANZA

ep1-768x512.jpg
ep3-768x512.jpg
ep2-768x512.jpg
 
Pale inaweza kuwa BRT lanes Pekee. Angalia Morogoro road kuanzia DIT Mpaka Nyerere Square . Ni BRT only.

ok, sema hio sehem/barabara watu ndo huwa tunaitumia kuingilia kupark magar ili tuanze mizunguko ya kununua vitu.. sasaa itabid tupitie kule jakaya kikwete ground
 
Tofauti ni kwamba Tz tulikuwa na utaratibu mzuri wa kuacha nafasi katikati which means tulikuwa na plans za muda mrefu lkn wenzetu hawakuwa na plans hizo ndio maana inakuwa ngumu kujenga system ya BRT, kwa mfano angalia Thika ili waweke BRT itawabidi wafanye uharibifu fulani pale kati au wachore km walivyojaribu but hata wakichora itawabidi waifumue Thika pale kati ili wajenge stations za BRT, otherwise waachane na mpango wa BRT au waendelee na ujenzi wa juakali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si wamezoea kuiga bila plan hawajui sisi tulikua tuna plan zaidi ya miongo miwil ya brt na bado light rail train , tulishapangaga zamani bado utekelezaji tuu
 
ok, sema hio sehem/barabara watu ndo huwa tunaitumia kuingilia kupark magar ili tuanze mizunguko ya kununua vitu.. sasaa itabid tupitie kule jakaya kikwete ground
Pale tazara na chama inafaa wajengee bonge la flyover aisee maana kuna folen sio ya kitoto
 
Back
Top Bottom