Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo kama hajahudhuria misa ninyi wakenya inawahusu mini?, sisi huku wala hatujui kama Uhuru Kenyatta anaenda kanisani, hii inaonyesha ni kiasi gani Tanzania ilivyo na nguvu Africa nzima, hasa kwa Kenya.

Haina shida nguvu au bila nguvu wapi raisi wenyu?
 
We unataka awe wapi kwa mfano, Rais ni Watz anaishi Tz unataka awe wapi. Mnamhusudu Magu mpk it's too much, Magu ni zao la elimu ya Tz na nyie badilisheni mfumo wa elimu yenu mtengeneze vichwa na wazalendo dizain ya Magu.
Tutabadilisha ile siku mtaacha kutuma watoto wenu waje kusoma huku na kuwapa nafasi za Kwanzaa watanzania waliosoma Kenya likija swala la ajira
 
IMG_6161.jpg

IMG_6162.jpg

IMG_6163.jpg
 

13 March 2021

Kibera, Nairobi Kenia 🇰🇪

The hard life inside the largest slum in Africa

We enter the alleys of the largest ghetto in the entire African continent to learn more about life in this place.
Source : Luisito Comunica
Kibera, Nairobi Kenia. La dura vida dentro del barrio pobre más grande de Africa. Nos adentramos por los callejones del ghetto más grande de todo el continente africano para conocer más a fondo sobre la vida en este lugar.
 
Hizo ni executive orders anazotia saini ambazo ni tofauti na file. Unajua siku hizi mambo mengi tunayafanya kwenye tarakilishi. Badala ya mafaili tunadeal na softwares. File bado zinatumika lakini sio sana kama zamani. Hata wewe ofisini najua unatumia tarakilishi sasa itakuwaje huyu mzee wenu haitumii?
Huku Kenya many govt services zimepelekwa online. Kwa mfano ukitaka ku-apply for passport una-apply online, malipo unafanya through Mpesa au credit cards e.t.c. Hata taxes siku hizi unalipia tu through Mpesa hata saa nne usiku sio kama zamani ambapo tulikuwa tunakwenda kulipa taxes kwenye benki na kupanga foleni kwa muda mrefu. Yaani teknolojia inarahisisha mambo. Mambo ya kupanga foleni kwenye benki imekuwa nadra. Kuna online banking pia. Lakini TZ najua hamuwezi kukosa kupanga foleni maana services za kiserikali hazipo online na pia pengine services za online banking za benki zenu sio nzuri.
uache ujuaji wa kijinga na kuleta hoja za kitoto ,,,file na tarakishi vyote vyote vinatumika hakuna nchi isiyotumia..

njoo na mada nyingine acha ushamba kwa kujifanya mjuaji
 
Back
Top Bottom