Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio ayakuhusu wewe umezaliwa umekituta kinywaji kipo international leo hii ujifanye wewe ndio mjanja unavijua sana vinywaji
Hawa wamezoea kunywa hivi vitu
Na changaaView attachment 1712147View attachment 1712146
Screenshot_20210226-070532_DuckDuckGo.jpg
 
Acha ushamba sasa icho kinywaji kwamba kiwanda kimefungwa akiendelei kuzalishwa kimeexpire au unamaanisha nini

Kila mmoja anatafuta ladha aipendayo kama wewe ladha imekushinda mnakunywa kinywaji ya kibera gongo endelea na gongo usitengeneze attention kwamba vinywaji vya gharama vyote unakunywa wewe maliza dunia nzima basi .
dah ,nimemcheka sana huyo jamaa,,,we muenjoy tu
 
Back
Top Bottom