[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] sijui ni kwanini wakenya huwa mnapenda kujidanganya kizembe,,,Interchange yenye hata haina magari? Tanzania huwa hamna magari mengi.
wakenya bhana wote ni vichaa[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] nimecheka sanaKama magari yanapita freely unategemea kuyaonaje?
huwa unashimda muda wote kwenye hiyo road nakuangalia ni magari mangapi yaliyopita hapo...?[emoji1787][emoji1787],,,au unajua hiyo road hupitisha magati mangapi kwa siku....?..Lakini hata kama yanapita freely mbona kuna magari machache sana kwenye barabara ya juu kabisa? Hata Thika road ambayo ni pana sana huwa haipo empty namna hii.
[emoji23][emoji23][emoji23]anaulizia magari.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] sijui ni kwanini wakenya huwa mnapenda kujidanganya kizembe,,,
mna utoto mwingi,,,hiyo sehwmu ni yakuteleza mwanzo mwisho ulitaka magari yaonekane mengi ili iweje,,,?..
na hilo ndiyo dhumuni la kujenga hiyo interchange hiyo sehemu kabla ya kujengwa interchange ilikuwa inakera sana full jam hebu chek chini hapo picha za miaka ya nyuma kuanzia miaka ya 2000 enzi hizo dar kulikuwa na vipanya hice carView attachment 1712250View attachment 1712251View attachment 1712252View attachment 1712253View attachment 1712254
yeah, thats how it works. though some mobilisation has started ie office aquisition in Dar which will occupy more than 1000 employees. in short the longest heated crude oil pipeline in the world- EACOP is inches away.Wow. Mimi nilidhani mradi unaanza kujengwa March. Kumbe ni kusign FID tu. Halafu mobilisation inaanza for 6 months. Duh! Asante kwa kuclarify maana ukiwaacha watu wengine humu pekee yao watatupotosha sana.
mobilisation is part of construction, ndio maana wanasema construction will take 39 months- mobilisation inclusiveWow. Mimi nilidhani mradi unaanza kujengwa March. Kumbe ni kusign FID tu. Halafu mobilisation inaanza for 6 months. Duh! Asante kwa kuclarify maana ukiwaacha watu wengine humu pekee yao watatupotosha sana.
it is, construction period is 39 months, mobilisation inclusiveKwahiyo mobilization is not part of construction?
march haiwezi isha lazima mzigo uanze. mzigo ulikuwa uanza feb ila umechekea mwezi mmoja![]()
THU FEB 25, 2021 / 8:59 AM EST
UPDATE 2-Uganda sees work on oil pipeline with Total starting shortly
Elias Biryabarema
(Updates with Tanzania comments)
By Elias Biryabarema
Feb 25 (Reuters) - Uganda said on Thursday the construction of a $3.5 billion oil pipeline with France's Total due to run through neighbouring Tanzania was expected to begin shortly.
"They said everything is set," he told reporters in Dar es Salaam. "The construction of the pipeline will begin in the second half of March. This is a great step and the construction will be completed in 2024."
The start of commercial crude production has been repeatedly delayed by a lack of infrastructure needed to export the oil from landlocked Uganda and by disagreements over field development strategy.
The planned crude export pipeline is to run a length of 1,445 km (900 miles), beginning in Hoima in western Uganda and ending at the Indian Ocean seaport town of Tanga in Tanzania.
About two thirds of the pipeline's cost will be financed by debt, and a Ugandan unit of South Africa's Standard Bank Group and Japan's Sumitomo Mitsui Banking Corp are jointly helping to raise the funding.
The government has said that once pipeline construction begins, it would take two-and-a-half to three years to complete.
Uganda is eager to accelerate the plan to begin pumping crude and earning petrodollars, which President Yoweri Museveni hopes will help revive an economy hit hard by the coronavirus pandemicd.
(Reporting by Elias Biryabarema. Additional reporting by Nuzulack Dausen in Dar es Salaam. Writing by Omar Mohammed. Editing by Gareth Jones and Mark Potter)
Our standards: The Thomson Reuters Trust Principles.
![]()
UPDATE 2-Uganda sees work on oil pipeline with Total starting shortly
Uganda said on Thursday the construction of a $3.5 billion oil pipeline with France's Total due to run through neighbouring Tanzania was expected to begin shortly.www.reuters.com
CC: Tony254
Sasa hio 1.4% inaweza kumuondoa nani? Kuweni serious saa zingine sio kuchukia Kenya bila sababu. Halafu by the way kama ni kweli kwamba Nigeria wana 16% basi wao wana nguvu sana na ushawishi mkubwa na wao ndio wanaoweza kuchagua nani atakayeongoza benki hii. Wanahitaji tu kutafuta support from a few countries na tayari watakuwa wamefikisha more than 50% of the votes.Kenya ina around 1.4% shares! BTW Nigeria's shareholding has risen to 16%!
Sitashangaa ukichelewa zaidi.march haiwezi isha lazima mzigo uanze. mzigo ulikuwa uanza feb ila umechekea mwezi mmoja
haiwezekani kupita march. wameshakubaliana vitu vingi sanaSitashangaa ukichelewa zaidi.
Mko ma-snitch siku zote mlikuwa mnasheherekea! Hata Madame Ngozi alivyokuwa vetoed WTO mlisheherekea!Sasa hio 1.4% inaweza kumuondoa nani? Kuweni serious saa zingine sio kuchukia Kenya bila sababu. Halafu by the way kama ni kweli kwamba Nigeria wana 16% basi wao wana nguvu sana na ushawishi mkubwa na wao ndio wanaoweza kuchagua nani atakayeongoza benki hii. Wanahitaji tu kutafuta support from a few countries na tayari watakuwa wamefikisha more than 50% of the votes.
ni kichaa kweli kweli[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]anaulizia magari.
[emoji23][emoji23][emoji23]zizi la ng'ombe
duuhhh,,,hilo yope kulikoni mzeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata nikikuambia uweke evidence hutaweka maana huna.Mko ma-snitch siku zote mlikuwa mnasheherekea! Hata Madame Ngozi alivyokuwa vetoed WTO mlisheherekea!