Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama magari yanapita freely unategemea kuyaonaje?
Lakini hata kama yanapita freely mbona kuna magari machache sana kwenye barabara ya juu kabisa? Hata Thika road ambayo ni pana sana huwa haipo empty namna hii.
 
Huyu ni bootlicker.
Wacha wivu anaiongoza AfDB better than any other predecessor! Yeye anaongea on behalf of his best client that has not misused the loans given and has paid back on time! Huwezi ona Uhuru akimwagiwa sifa hapa! BTW Kenya ilijaribu kumuondoa kupitia Trump kwa kupeleka majungu! Now Trump is gone and the guy is still there!
 
Wacha wivu anaiongoza AfDB better than any other predecessor! Yeye anaongea on behalf of his best client that has not misused the loan given and has paid back on time! Huwezi ona Uhuru akimwagiwa sifa hapa! BTW Kenya ilijaribu kumuondoa kupitia Trump kwa kupeleka majungu! Now Trump is gone and the guy is still there!
America ndio ilikuwa inataka kumtoa sio sisi. America wana own shares in Afdb nadhani between 6% - 15%, sikumbuki the exact figure. Kwa hivyo marekani kama shareholder ana right ya kujaribu kuchagua anayetaka aongoze Afdb ikiwa atapata support from other shareholders. Kiongozi anachaguliwa na majority shareholders through a vote. Marekani hakuweza kupata enough support ya kumuondoa huyu jamaa. Mbona unablame Kenya? Kwani tulifanya nini?
 
AfDB shareholders.PNG

US share is 6.56% after being diluted when Trump a puppet master for Kenya started his bickering and interference with management affairs!
 
Naomba tuendelee kutafuta mitaa ya hadhii kama hii mombasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lakini hata kama yanapita freely mbona kuna magari machache sana kwenye barabara ya juu kabisa? Hata Thika road ambayo ni pana sana huwa haipo empty namna hii.
Iyo intersection inapitisha gari 68k kwa siku nadhani ilo ndio jibu la mwisho
 
Hii Nigeria nayo ni failed state sana. Hata kama mnasema kwamba Kenya ni failed state lakini Nigeria imezidi sana. 300 school-girls kidnapped.

Cc joto la jiwe

Marekani ni 6.5%. Halafu Kenya ni 0% sasa vipi ulikuwa unasema kwamba Kenya ilikuwa inajaribu kumuondoa huyu mtu ilhali Kenya sio shareholder na kwa hivyo hatuna nguvu ya kumuondoa? Wacha kuchukia Kenya bure hata wakati hatuna uwezo wa kufanya maovu unayosema kwamba tulifanya.
Kenya ina around 1.4% shares! BTW Nigeria's shareholding has risen to 16%!
 
Back
Top Bottom