Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣👇👇👇👇mwisho wa siku
AD20F151-5637-41C9-A7CB-3CEBB0E155C1.jpeg
 
Mbona hamjawahi kutupita kiuchumi ilhali mna hii rasilimali yote?
Haa unaongea kama mwanamke aliyepewa talaka yaani tusainishe mkataba leo na tuwapite leo hata uchimbaji haujaanza njoo ongea miaka minne mbele! Maana baada ya huu mradi be rest assured gold and metal refineries, EOCOP, graphite, helium, coal and ironore projects r to follow! Not to forget LNG project! uzuri wa JPM hajaacha mambo ya infrastructure yaani kuanzia umeme, SGR na bandari kotekote anapiga! Mkibaki salama mkachinje bata mwekundu!

Nickel project is to earn tanzania at least $664 mln per year
 
Haa unaongea kama mwanamke aliyepewa talaka yaani tusainishe mkataba leo na tuwapite leo hata uchimbaji haujaanza njoo ongea miaka minne mbele! Maana baada ya huu mradi be rest assured gold and metal refineries, EOCOP, graphite, helium, coal and ironore projects r to follow! Not to forget LNG project! uzuri wa JPM hajaacha mambo ya infrastructure yaani kuanzia umeme, SGR na bandari kotekote anapiga! Mkibaki salama mkachinje bata mwekundu!
Yaani. Najisikia vizuri sana.
 
Walikuwa wanamuona Magu mjinga aliposisitiza kuwa tupambane mpk tufike kwenye MW 10k
 
Yaani. Najisikia vizuri sana.
Leo wameumia sana hawa jamaa cz walikuwa wanajua km Tz cku ikiamka hakuna nchi itatukaribia hapa Afrika watake wasitake, mda c mrefu tutawaacha na battle yao na Rwanda, Ethiopia, na zingine size yao but cc tutaanza kupambana na kina SA, Nigeria(GDP)

Anayeogopa aendelee kuogopa ila mm ndo nasema hivyo mana ukiangalia hizo nyingine ukitoa SA na nchi za kiarabu ni uvundo tu na hazina rasilimali nyingi km Tz
 
Back
Top Bottom