The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hahahaaaa.Halafu mwaka huu CRDB inafungua Branch DRC! Nchi hata chakula hamjitoshelezi ubabaishaji-ubabaishaji nchi ya kinyoko sana aisee!
Hahahaaaa.Halafu mwaka huu CRDB inafungua Branch DRC! Nchi hata chakula hamjitoshelezi ubabaishaji-ubabaishaji nchi ya kinyoko sana aisee!



Hakutumwa achukue loans lw saccos zao na benkiNdio maana mnaongoza kwenye police brutality.


Uuff..we unajua hyo 47k isingelikua na loans jamaa angelimudu maisha vizuri sana..Unauliza! ama hujui venye maisha ya kenya ni magumu mnoo.


Mpumbavu wa hali ya juu, we unachukuaje loan kijinga jinga hvo..ndio ajipange na elfu miaka km mitano hivi sasaHuyo jamaa mjinga sana. Mbona amechukua loans nyingi hivyo? Kwani anajenga mall nazo?
Asa hilo utafananisha na PPF HQ?? kweli??Most unique and beautiful building in EA,,ata kujengwe za glass facade,hamuna itawahi pita kicc
View attachment 1681182
Nyinyi sgr mumezungumzia miaka mingapi?Miaka 12 bado munazungumzia konza 🤣🤣
Hahahaha!!watasema uthibitishe km hapo ni tz kwelwatanzania kiteto ipo pande gani?View attachment 1681206
SGRNyinyi sgr mumezungumzia miaka mingapi?
Konza ina miaka zaidi ya 12 hamujajenga hata asilimia 1 ya render au nasema urongooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 labda musubiri yesu ashuke awasaidieNyinyi sgr mumezungumzia miaka mingapi?
2019 nov phase one ilikua 80%SGR
Phase 1 over 92%
phase 2 over 52%
Phase 5 site works
unasemaje hapo



SGR imeanza 2017.Nyinyi sgr mumezungumzia miaka mingapi?
Yeah lakini sgr ukianza pamoja sisi tushatumia Mike Kumi nyinyi bado haijaisha sisi hadi nilisha anza kujenga Express ways2019 nov phase one ilikua 80%![]()