Mambo ni fifty fifty kama kawa kama dawa, watanzania wanazoa supplying tenders kama zote, New billionaires loadings
Kuna fala anatuambia eti Tundwi is 50 kms from Dar cbd so it's no big deal even if it has that village feel. Below is Rironi, 43 kms from Nairobi cbd but imejengeka in all corners. Tanzanians you still have a long way to catch up with Nairobi
View attachment 1681032
Compare with Tundwi below, 50kms from the cbd![]()
![]()
![]()
View attachment 1681035



kwanza nikucheke tundwi ipo ndani ya kigamboni na nipembezoni kabisa ya mji 92km from CBD...









Naona uswazi huwa kila mahali😱😱😱😹😹kwanza nikucheke tundwi ipo ndani ya kigamboni na nipembezoni kabisa ya mji 92km from CBD...
wakenya mnautindio wa ubongo yaani 24km from nai cbd tena haijajengeka una compare na 92km from dar cbd. we si kichaa.....
je tukisema tuchukue hata 40km ya kenya from nairobi cbd si ndiyp itakuwa vituko kabisa.....
ndiyo ujue sasa dar ni kubwa km zote ila bado upo ndani ya dar na watu wamejenga ,hizo km ukiwa kenya unapata county 5 mpaka 7
halafu pori la ruiru unamuachia nani..?
unajifunza kusqeez locationView attachment 1681178View attachment 1681179View attachment 1681180View attachment 1681181
How big is this project? 🤔
Ndio maana mnaongoza kwenye police brutality.
Huyo jamaa kw riot kwnn asikupige risasi
halafu tuna graphite ya kumwaga pia..
hawa mafalamanga wasitusumbue na upuuzi wao!
Unauliza! ama hujui venye maisha ya kenya ni magumu mnoo.Huyo jamaa mjinga sana. Mbona amechukua loans nyingi hivyo? Kwani anajenga mall nazo?
Kwa hiyo sheria mpya ya madini inadanganya?Kwenye mapato 50-50 na Barick Gold sidhani kama ni kweli. Nani amesoma hio contract? Na kama ni kweli basi mpo sawa.
Rasilimali ndio zinaanza kutumikaMbona hamjawahi kutupita kiuchumi ilhalu mna hii rasilimali yote?
Kwa hiyo sheria mpya ya madini inadanganya?
Ukisema unique nakuelewa but most beautiful? Iyo hapana kwasababu uzuri Ni subjective Acha kutulazimisha mawazo yakoMost unique and beautiful building in EA,,ata kujengwe za glass facade,hamuna itawahi pita kicc
View attachment 1681182
Haya madini yote mikataba ikisimama vizur na wawekezaji wakifunguka uchumi wa Tz utafunika nchi nyingi sanahalafu tuna graphite ya kumwaga pia..
hawa mafalamanga wasitusumbue na upuuzi wao!
halafu tuna graphite ya kumwaga pia..
hawa mafalamanga wasitusumbue na upuuzi wao!
Alikua anatutoa kwenye comfort zone ili tukae mkao wa kasi yake, saivi tayari mentality za watumishi zimekaa mkao Magufuli alioutaka.Basi hii ndio legacy kubwa ya Magufuli. Hio 50-50 revenue sharing ipo sawa sana. Halafu Magufuli ametulia sana, aliwacha kuvuta watu kazi? Zamani alikuwa anapiga kila mtu kalamu
Je wajua architect aliye-design KICC aliidesign ili ifanane kama penis ya donkey.Ukisema unique nakuelewa but most beautiful? Iyo hapana kwasababu uzuri Ni subjective Acha kutulazimisha mawazo yako
umekosea hiyo ni slum si uswazi......Naona uswazi huwa kila mahali![]()

Narejea bandiko langu hili kutoa ufafanuzi...Nmecheka sanaHivi kwann nchi yenu imekaa kiupigaji tu Mimi sikuwahi kuwaza kwamba kuna baadhi ya maeneo hata lami hayana...nyie wakenya mtakuja kuendelea baada ya miaka mingi sana kupita
SA imekua ilivyo saivi sababu tu ya madini, japo wao walianza miaka mingi sana nyuma lakini kwa kasi hii tutafika mbali kwa hicho kitakachobaki TanzaniaHaya madini yote mikataba ikisimama vizur na wawekezaji wakifunguka uchumi wa Tz utafunika nchi nyingi sana