Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kufananisha ujenzi wa SGR ya Tz na expressway? Acha Huo ujinga
Na mkumbuke your SGR ilikua na 20 years loan agreement na iko karibu kuisha hiyo miaka kabla ya nyinyi hata muanze kutumia
 
Bei ya Nickel
Screenshot_20210119-162701.png
 
unawaumiza roho!
Nani aumizwe roho mnaweka asilimia bila aibu na ni miaka ishirini baadae kenya and ethiopia walishaanza kutumia zao hadi zimezeeka ndo maana kenya imeanza kufanya biashara na ethiopia wait wako chap chap si mabongo lala Kama wenzetu huku
 
Yaani Nairobi Watanzania ni wengi. Leo nimekutana na wawili. Mmoja ameishi Kenya miaka mitano tu na tayari ameshasahau Kiswahili cha Tanzania. Nimecheka sana. Kumbe Mtanzania anaweza kusahau hicho kiswahili chenu cha kulegeza ulimi. Huyo amesahau lafudhi yenu.
 
Yaani hicho tu, kimekufanya uandike comment!!?
 
Toeni usenge wenu wa kibaguzi hapa, wazanzibari pia ni Watz, wacha huo usenge au peleka kwenu huo ubaguzi fala wewe.
Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm
 
Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm
Wazanzibari wengi wapo bara na wamewekeza maisha yao yote huku bara kuliko Zanzibar, kwakifupi huku kwetu hakuna ubaguzi na hautowahi kutokea cz Tz miaka yote inaongozwa na viongozi makini walioenda shule co nyie wapuuzi.
 
Back
Top Bottom