LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,401
- 3,634
Keep on living in fantasy and mediocrity!👏👏We are the king forever,plz don't dream dar port overtaking us,,haitawahi wezekana
Keep on living in fantasy and mediocrity!👏👏We are the king forever,plz don't dream dar port overtaking us,,haitawahi wezekana
Mda mwingine acha kuongea km umevuta bangiMombasa to mariakani wanajenga four lanes wewe na inamiminiwa we unakuja na ujinga wa matamshi ya serekali yenuView attachment 1631687
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Leo weekend katafute beer mbili tatu kwanza upunguze stress, sio kila siku mijadala tuMda mwingine acha kuongea km umevuta bangi
....njoo na specification za iyo road km iko above 50km
Umesahau bandari zetu za kwenye Maziwa makuu, Nyasa, Victoria, Tangayika etc, ktk sector hii tuko advanced sana ukilinganisha na hao jamaaKenya nzima mizigo yote ni Mombasa lazima iwe hivyo,wakati Tanzania INA tumia bandari zake tatu
Mombasa port is always under expansion👏👏We are the king forever,plz don't dream dar port overtaking us,,haitawahi wezekana
Facts are beachesKeep on living in fantasy and mediocrity!
DSM Kila sehemu wanajenga, Hapa wanajenga nini?
Kiukweli niko sehem flani hapa kinondoni najipatia chabaridi bila shida....unakaribishwaLeo weekend katafute beer mbili tatu kwanza upunguze stress, sio kila siku mijadala tu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
maandiko yanasema taifa dogo litakuja kupiga taifa kubwa.....Tanzania tangu ianzishwe haijawahi kumpigia magoti yeyote.
Tulishawahi kufanyiwa sanctions na hatukumwabudu yeyote.
Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
Wanaume wa dar na kinondoni banaKiukweli niko sehem flani hapa kinondoni najipatia chabaridi bila shida....unakaribishwa
Bado hatujafikisha hata 50% ya Dar km Dar
Flyover mzee km pale chang'ombe.DSM Kila sehemu wanajenga, Hapa wanajenga nini?
Coronavirus is in Kenya to stay!
Watch this video kisha uje na summary.
What is your point exactly is coronavirus in Kenya aloneCoronavirus is in Kenya to stay!
Kumbe hio profile pic yako ni ya ukweli. Wewe ni wa left ama right kwa hio video?Current MoodsView attachment 1631014