Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania tangu ianzishwe haijawahi kumpigia magoti yeyote.
Tulishawahi kufanyiwa sanctions na hatukumwabudu yeyote.

Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
maandiko yanasema taifa dogo litakuja kupiga taifa kubwa.....
mbali na israel kuna taifa ambalo kama halipo ivi ila ni taifa lisilo na makando kando ndani ya huu ukanda.....nachosema watakiona kizazi kijacho nikiwemo mimi......
 
Tanzania bigger economy

Polish_20201122_054013465.png
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom