Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,209
- 79,449
French tourists enjoying a Safari ride in the Serengeti National Park last week. Photo: Guardian Correspondent.
Mwanza bado sna kw msa nakwambia eti ni city kishaMwanza hata haina airport. Utarudi uendeleze debate wakimaliza kujenga airport yao. Kwa sasa hatuwezi kulinganisha Mombasa na kidude ambacho hakina airport
Nadhani ndiye aliye kitandani
tena wao wana advantage distance ya Mombasa to Kisumu ni ndogo na it will take time before a similar distance for Tanga-Mwanza route is onboard or SGR Dar-Mwanza is ready! Ila JPM ni mbishi yaani in 5 years kakarabati meli mbili kajenga vivuko visivyopungua vitatu na anajenga meli kubwa moja wakati nyingine ya mizigo tu (49 wagons) inangoja design! Kajenga chelezo, kakarabati jetties za kupokea meli around Lake Victoria na kufufua pia wagon ferries ukiachia uboreshaji wa reli MGR Dar-Isaka. Jirani kalala usingizi wa pono akijenga bandari ya Kisumu mwaka wa nne huu haijakamilika! Nina uhakina Tony254 akiwa na wenzake kisirisiri anampamba JPM ni humu tu unazi umemzidi anajifanya kukandia!Sio kweli, hakuna tofauti kwa anayemiliki 90% na aneyemiliki 10% ya water body katika vyombo vya usafiri kwasababu nafasi ya kufanya biashara ya usafirishaji katika ziwa Victoria ni sawa kati ya nchi zote 3 bila kujali ukubwa wa eneo nchi inayomiliki
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Km ndo hivyo basi umeshindahapana, tumesimama
JPM namkubali kwenye ujenzi wa infrastructure. Lakini yeye hapendi demokrasia.tena wao wana advantage distance ya Mombasa to Kisumu ni ndogo na it will take time before Tanga-Mwanza route is onboard or SGR Dar-Mwanza is ready! Ila JPM ni mbishi yaani in 5 years kakarabati meli mbili kajenga vivuko visivyopungua vitatu na anajenga meli kubwa moja wakati nyingine ya mizigo tu (49 wagons) inangoja design! Kajenga chelezo, kakarabati jetties za kupokea meli around Lake Victoria na kufufua pia wagon ferries ukiachia uboreshaji wa reli MGR Dar-Isaka. Jirani kalala usingizi wa pono akijenga bandari ya Kisumu mwaka wa nne huu haijakamilika! Nina uhakina Tony254 akiwa na wenzake kisirisiri anampamba JPM ni humu tu unazi umemzidi anajifanya kukandia!
Mkuu mbona tutumie meli wakati tuna barabara fupi inayounganisha Kenya na Uganda? Heri hata ungesema tukarabati reli yetu ya MGR inayofika Kampala hlafu Uganda nao wakarabati upande wao.tena wao wana advantage distance ya Mombasa to Kisumu ni ndogo na it will take time before Tanga-Mwanza route is onboard or SGR Dar-Mwanza is ready! Ila JPM ni mbishi yaani in 5 years kakarabati meli mbili kajenga vivuko visivyopungua vitatu na anajenga meli kubwa moja wakati nyingine ya mizigo tu (49 wagons) inangoja design! Kajenga chelezo, kakarabati jetties za kupokea meli around Lake Victoria na kufufua pia wagon ferries ukiachia uboreshaji wa reli MGR Dar-Isaka. Jirani kalala usingizi wa pono akijenga bandari ya Kisumu mwaka wa nne huu haijakamilika! Nina uhakina Tony254 akiwa na wenzake kisirisiri anampamba JPM ni humu tu unazi umemzidi anajifanya kukandia!
106 sub counties without a courtMkuu mbona tutumie meli wakati tuna barabara fupi inayounganisha Kenya na Uganda? Heri hata ungesema tukarabati reli yetu ya MGR inayofika Kampala hlafu Uganda nao wakarabati upande wao.
There is no democracy in this worldJPM namkubali kwenye ujenzi wa infrastructure. Lakini yeye hapendi demokrasia.
kwani mwanza airport haipo operational?? wewe mbona akili unaitumia vibayaSasa unataka tulinganishe airport ambayo inafanya kazi na ambayo hata bado haijaanza kufanya kazi? Akili kichwani jameni.
Just like Mombasa airport pia haina cargo terminal!
The largest State of the art cold room
VS
Cargo Handling At Moi International Airport
Moi International Airport (MIA) strategic geographical location at the coastal region of the Indian Ocean, positions it as an ideal tourist and trade destination airport for the region. The airport currently has 20 scheduled airlines with the majority of the international flights originating from Europe.
In the year 2011/2012, MIA witnessed eleven new airlines mainly from Europe starting operations at the airport. These include: Alitalia, Enter Air, Finnair, Novair, Oren Air, Windrose, Tui Nordic, Yes Airline and Time Airline of South Africa. This is important as Europe remains the main regional source market for the East African coast.
Infrastructural development
Several airport infrastructure and capacity enhancement projects have been initiated at Moi International Airport to enhance delivery, safety and efficiency of operations. These projects include:
- Rehabilitation works at Terminal Two which increased the airport capacity to handle an additional 500,000 passengers per annum
- Upgrade of the public address system
- Upgrade of air field and apron good lighting
- Kenya Airports Authority is now in the process of rehabilitating the pavements to improve strength and serviceability.
- The expansion of the Mombasa port and the Lamu-South Sudan project which are two major Vision 2030 flagship projects will make the Kenyan coastal region a major trade investment, giving MIA the competitive edge as the gateway to the region.
Cargo Facilities at Moi International Airport
Kenya Airfreight Handling Ltd (KAHL) operates the cargo facility at MIA with capability of handling 500 tonnes of cargo for exports and imports per month.
The facility includes:
- Export Warehouse 5,110 sq ft
- Import Warehouse 5,380 sq ft
- Radioactive Room 100.4 sq ft
- Strong room 841.1 sq ft
- Security Cage 328.17 sq ft
- Freezer room 15.25 sq m
- Cold room 25 sq m
- 55 offices of various sizes
- 150 motor vehicle parking slots
- Communication facilities (telephone, fax, email, etc)
Cargo Facilities proposed for development at MIA
- Development of a modern second state-of-the-art transit shed
- Development of a pack house
👇👇👇👇 terminal 3 znz @tony254Wakuu mwenye picha ya airport mpya ya Zanzibar aweke humu
demokrasia gani munataka ya ushoga au??JPM namkubali kwenye ujenzi wa infrastructure. Lakini yeye hapendi demokrasia.
na akikubishia nitag nimletee ushahidiThere is no democracy in this world
OhkMkuu mbona tutumie meli wakati tuna barabara fupi inayounganisha Kenya na Uganda? Heri hata ungesema tukarabati reli yetu ya MGR inayofika Kampala hlafu Uganda nao wakarabati upande wao.