ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwann isiwe SGR ni kwann SGR mumeitelekeza machakani😂😂😂Mkuu mbona tutumie meli wakati tuna barabara fupi inayounganisha Kenya na Uganda? Heri hata ungesema tukarabati reli yetu ya MGR inayofika Kampala hlafu Uganda nao wakarabati upande wao.
