Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mmeliona hili bango? construction board!
IMG_1593961985.499082.jpg
 
Tangu Magu aingie madarakani,amewaumiza kwa mambo mengi,ila hili la SGR,litawaumiza sana kuliko Uganda pipe line.

Ni kweli..la SGR lazima liwaumize sana maana ya kwao washajenga kwa gharama kubwa, hvyo haiwezekani kuifanya iwe zaidi ya TZ maana tayar ishakuwa implemented with many mistakes that will take generations to fix
 
anga la kenya likifunguliwa na hili shirika likiwa katika hekaheka za kuchukuliwa na serikali, inabid ATCL iruhusiwe kuingia kenya,

Mi naogopa sana..kwa wakenya walivyo na roho mbayaaa..watalisabotage shirika letu la ATCL si ajabu wakalegeza hata bolts za tairi la ndege ili ipate ajali na kuharibu reputation yake..Wakenya wana roho mbaya mnooo...kama walikuwa tayari kusaliti EAC kwenye EPA kwaajili ya Maua watashindwa hili kweli?
 
Binafsi naamini kuna sabotage sehemu,inakuaje atcl iende,uganda,zambia,burundi,zimbabwe halafu ishindwe kwenda kenya tu hapo na rwanda,kuna kitu hapa kinaendelea magu inabidi aangalie kwa jicho la 3 kwenye hili

Sabotage ilianzia hapa hapa na Wabongo baada ya kuuwa Air Tanzania na kuanzisha Precision air, sasa njia ya Dar- Nairobi ni nzuri sana, na inatawaliwa na precision, Kenya Airways wameinunua/ubia na Precision na Kenya airways inashirikiana na KLM hivyo wageni wa KLM inayoishia Nairobi wanaletwa Dar na Precision/Kenya airways kama KLM yenyewe haiji Bongo moja kwa moja, hivyo ni ngumu sana AirTanzania kuchukuwa hiyo njia ni kama Dar- AK tu, naamini pia ni sabotage kwa maana SAA anakula nyomi la ukweli hivyo tulikuwa tunaenda kugawana abiria, wakaishika ndege yetu ikiwa na abiria ndani, hivyo abiria wakasumbuliwa wakapoteza uaminifu ambao ni muhimu sana kwenye biashara, ...
 
Sabotage ilianzia hapa hapa na Wabongo baada ya kuuwa Air Tanzania na kuanzisha Precision air, sasa njia ya Dar- Nairobi ni nzuri sana, na inatawaliwa na precision, Kenya Airways wameinunua/ubia na Precision na Kenya airways inashirikiana na KLM hivyo wageni wa KLM inayoishia Nairobi wanaletwa Dar na Precision/Kenya airways kama KLM yenyewe haiji Bongo moja kwa moja, hivyo ni ngumu sana AirTanzania kuchukuwa hiyo njia ni kama Dar- AK tu, naamini pia ni sabotage kwa maana SAA anakula nyomi la ukweli hivyo tulikuwa tunaenda kugawana abiria, ...
Mkuu KLM imeacha lini kuja Tz direct? Last time nakumbuka route yake ni Amsterdam-Kilimanjaro-Dar-Amsterdam.
 
Mkuu KLM imeacha lini kuja Tz direct? Last time nakumbuka route yake ni Amsterdam-Kilimanjaro-Dar-Amsterdam.

Haijaacha kuja nimeshindwa tu labda kuelezea vizuri, ina ruti nyingi (mbili) za kuja Tanzania, kuna inayokuja kupitia KIA -Dar na kuna inayokuja kupitia Kenya-Dar, sasa hiyo ya kupitia Kenya ikifika Kenya abiria wa Dar wanaletwa na precision/Kenya airways na siyo KLM wenyewe kwa maana KLM wana hisa Kenya Airways na Kenya Airways wamenunua/ubia na Precision, sijui kama nimeelezea vizuri lkn kifupi KLM ina njia mbili za kuja Dar, ya kipitia KIA na ya Kenya, ...
 
Wacha upumbavu wewe KLM haipitii Kunyaland kuja Dar! Inapitia KIA au inakuja direct to JNIA! KQ walijaribu sana kuilazimisha KLM kuiachia route za EA, KLM ikakataa kutokana na vested interest to Tanzanian market.
 
Back
Top Bottom