Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haijaacha kuja nimeshindwa tu labda kuelezea vizuri, ina ruti nyingi (mbili) za kuja Tanzania, kuna inayokuja kupitia KIA -Dar na kuna inayokuja kupitia Kenya-Dar, sasa hiyo ya kupitia Kenya ikifika Kenya abiria wa Dar wanaletwa na precision/Kenya airways na siyo KLM wenyewe kwa maana KLM wana hisa Kenya Airways na Kenya Airways wamenunua/ubia na Precision, sijui kama nimeelezea vizuri lkn kifupi KLM ina njia mbili za kuja Dar, ya kipitia KIA na ya Kenya, ...
Abiria atakaekata tiketi ya Amsterdam-Dar akubali kupitia Nairobi then aletwe na pangaboi from Nairobi to Dar ni mbulula. Mind you nikikwambia Amsterdam Dar watanzania wengi hawatokei pale Amsterdam, wanatoka USA na Europe huwezi kumshusha Schiphol, then umshushe JKIA halafu umpandishe pangaboi. Kuna kitu umechanhanya.

Swissair Dar to Zurich nakumbuka inapita Nairobi(skumbuki ni wakati wa kwenda au kurudi) na hushuki mwenye ndege wanapakia watu mnaondoka nao.
 
Wacha upumbavu wewe KLM haipitii Kunyaland kuja Dar! Inapitia KIA au inakuja direct to JNIA! KQ walijaribu sana kuilazimisha KLM kuiachia route za EA, KLM ikakataa kutokana na vested interest to Tanzanian market.


KLM ina ruti mbili (2) za kuja Dar, kuna inayopitia KIA na nyingine inatua kwanza Kenya halafu Precision wanaleta abiria Dar, ...
 
KLM ina ruti mbili (2) za kuja Dar, kuna inayopitia KIA na nyingine inatua kwanza Kenya halafu Precision wanaleta abiria Dar, ...
evidence?

Fly to Dar es Salaam with KLM
Together with our global network, we as KLM Royal Dutch Airlines offer flights to Dar es Salaam, serving Julius Nyerere International Airport (DAR). We recognise that your time is valuable, which is why we are committed to getting you where you need to go on time. We have been recognised for our punctuality in the past, and we intend to keep it this way, so book your next flight to Dar es Salaam with us today!
Top Dar es Salaam attractions
  • Mbudya Island: an uninhabited island reachable by means of a 20-minute motorboat ride, famous for snorkelling, sunbathing and hiking.
  • Azam Marine and Coastal Fast Ferries: a local ferry service which transports visitors to the nearby islands of Zanzibar and Pemba.
  • Kivukoni Fish Market: an exuberant fish auction in Tanzania where you can buy fresh fish and enjoy the atmosphere.
  • Village Museum: a museum established to preserve traditional cultures of Tanzania, displaying traditional huts of about 16 different Tanzanian ethnic groups.
  • Kunduchi Wet 'N' Wild Water Park: a locally-famous waterpark featuring over 29 waterslides, many pools, and even go-karting.
Get ready to explore Dar es Salaam with our helpful travel guide. Full of everything you need to know about visiting Tanzania, you can be fully prepared for your trip to Africa.

What’s the best way to get around Dar es Salaam?
Taxis are cheap and plentiful, and you can hail one off the street during the day. At night, however, we recommend that you ring up a taxi firm as it can be difficult to track down parked taxis when it is dark. You can also catch a “daladala”, which is a small minibus. These run on set routes but there are no fixed stops, so you can get off at any time by shouting “shusha”. To head to the city centre, look for daladalas marked “postas”, which mean they are travelling to the central post office. Daladalas are very cheap and there are lots of them around, so they tend to be very popular.


What’s the weather in Dar es Salaam?
Expect sunshine and warm weather no matter when you visit, as the average temperature never drops below 23°C (73°F)! January is the warmest time to visit, with temperatures frequently heating up to above 30°C (86°F) and the chance of rain being virtually non-existent. Be careful of spring showers if you’re heading to Dar es Salaam in April; torrential downpours are common!

https://www.klm.com/en-de/flights-to-dar-es-salaam


Fly to Kilimanjaro with KLM
Together with our global network, KLM Royal Dutch Airlines offers flights to Kilimanjaro, serving Kilimanjaro International Airport (JRO). We pride ourselves on our top-notch customer service. Have any questions or concerns about your upcoming flight to Kilimanjaro? Contact us 24/7 via Facebook, Twitter or WhatsApp for a quick response!
Top Kilimanjaro attractions
  • Mount Kilimanjaro: the largest mountain in Africa, towering over the ground at 5.895 m; famous for its challenging terrain and rewarding hikes.
  • Zanzibar: an archipelago off the east coast of Tanzania, offering visitors sandy beaches, historic sites and breath-taking scenery.
  • Kikuletwa Hot Springs: a pool of hot springs over 6 m deep, which looks as if the water is boiling as it bursts from underground.
  • Stone Town: a scenic old town and cultural delight, formed over centuries from interaction from many different cultures.
  • Kahawa Shambani-Africa Coffee Tour: a community based project that helps to supplement the income of local coffee farmers.
The Arusha, Lake Manyara, Ngorongoro Conservation Area, Serengeti and Tarangire National Parks will each offer spectacular views and experiences. If you have enough time and feel like getting away from the noise of the city, take a tour to the Selous Game Reserve in the Morogoro Region. Keen for more tips for your trip to Kilimanjaro? Visit our travel guide!

What’s the best way to get around Kilimanjaro?
The best way to get around the region is with a local tour company; each company offers a different route to and provide tourists with basic precautions and information. Be sure to research before choosing your tour guide, however, and go with the most responsible ones! The locals use daladalas (minibuses), although they might not be the most comfortable option, if you have baggage.

What’s the weather in Kilimanjaro?
This depends on where you are visiting, as the higher locations feature a temperate climate with low temperatures, while the lower ones have a tropical climate. The wet seasons also vary because of the altitude and the influence of the mountains. Make sure to plan ahead and choose dry periods to travel to Kilimanjaro to make the most of hiking trails, tours and breath-taking views.

https://www.klm.com/en-de/flights-to-kilimanjaro-jro
 
Abiria atakaekata tiketi ya Amsterdam-Dar akubali kupitia Nairobi then aletwe na pangaboi from Nairobi to Dar ni mbulula. Mind you nikikwambia Amsterdam Dar watanzania wengi hawatokei pale Amsterdam, wanatoka USA na Europe huwezi kumshusha Schiphol, then umshushe JKIA halafu umpandishe pangaboi. Kuna kitu umechanhanya.

Swissair Dar to Zurich nakumbuka inapita Nairobi(skumbuki ni wakati wa kwenda au kurudi) na hushuki mwenye ndege wanapakia watu mnaondoka nao.


Hilo chaguo lipo wakati unataka kununua tiketi, utachagua mwenyewe ruti yako kulingana na uwezo wako na muda na mara nyingi ruti ya kupitia Kenya ni bei rahisi na ina masaa mengi zaidi, lakini ni hivyo unaweza kuthibitisha mwenyewe aidha kwa kuuliza KLM au hata kujaribu kununua tiketi online, ...
 
Are you dumb?? How can you possibly even do that comparison?? Leta Kibera then tufanye comparison.
siezi leta kibera hapa juu iko mbali na town iko upande wa southern bypass but on this comparison i have used both areas which are closely near the cbd of both cities
 
evidence?

Ingia kweye website klm.com halafu jaribu kukata tiketi ya kutoka huko kwao kuja Dar uatona, kuna njia nyingi za kufika Dar, kuna ya moja kwa moja yaani kupitia KIA na kuna ya kupitia Kenya ambapo utaletwa na precision/Kenya airways mpaka Dar, lkn unachagua mwenyewe huku ujijua na njia ya Kenya ina bei ya chini kwa maana inachukuwa muda mwingi zaidi kuliko ya moja kwa moja, ...
 
Ingia kweye website klm.com halafu jaribu kukata tiketi ya kutoka huko kwao kuja Dar uatona, kuna njia nyingi za kufika Dar, kuna ya moja kwa moja yaani kupitia KIA na kuna ya kupitia Kenya ambapo utaletwa na precision/Kenya airways mpaka Dar, lkn unachagua mwenyewe huku ujijua na njia ya Kenya ina bei ya chini kwa maana inachukuwa muda mwingi zaidi kuliko ya moja kwa moja, ...
Fool Nimeomba evidence! Nimekupa yangu route mbili hizo tena directly! As u shit lies KLM lands in Dar n directly without landing at JKIA (passenger flights suspended) as it has always been!
 
siezi leta kibera hapa juu iko mbali na town iko upande wa southern bypass but on this comparison i have used both areas which are closely near the cbd of both cities
Hii ya Dar ulioleta ni karibu na cbd? Ni wapi hapo na km ngapi from cbd?
 
the other side of dar es salaaam vs the other side of nairobi kindly compare and contrast..remember both ni nje ya cbd
Wew unawezaj linganisha dar na vitu km hiviii ww... hutaka ukute dar
..
JamiiForums-1253823242.jpg
JamiiForums-1565929439.jpg
JamiiForums-478453858.jpg
JamiiForums252805046.jpg
JamiiForums1222409569.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums-1253823242.jpg
    JamiiForums-1253823242.jpg
    44.6 KB · Views: 6
Fool Nimeomba evidence! Nimekupa yangu route mbili hizo tena directly! As u shit lies KLM lands in Dar n directly without landing at JKIA (passenger flights suspended) as it has always been!
mpe hii akalale 😂😂👇👇

 
Tangu Magu aingie madarakani,amewaumiza kwa mambo mengi,ila hili la SGR,litawaumiza sana kuliko Uganda pipe line.
Mkuu Pipe line ndo inawauma sn mana tuwapokonya tonge kwa mudomo yao, but sgr ilikuwa ni lazima cz ni maamuzi yetu binafsi
 
Sabotage ilianzia hapa hapa na Wabongo baada ya kuuwa Air Tanzania na kuanzisha Precision air, sasa njia ya Dar- Nairobi ni nzuri sana, na inatawaliwa na precision, Kenya Airways wameinunua/ubia na Precision na Kenya airways inashirikiana na KLM hivyo wageni wa KLM inayoishia Nairobi wanaletwa Dar na Precision/Kenya airways kama KLM yenyewe haiji Bongo moja kwa moja, hivyo ni ngumu sana AirTanzania kuchukuwa hiyo njia ni kama Dar- AK tu, naamini pia ni sabotage kwa maana SAA anakula nyomi la ukweli hivyo tulikuwa tunaenda kugawana abiria, wakaishika ndege yetu ikiwa na abiria ndani, hivyo abiria wakasumbuliwa wakapoteza uaminifu ambao ni muhimu sana kwenye biashara, ...
Klm anakuja dar direct from amsterdam,kq na wabongo wezi walisabotage kitambo sana na kuufanya uwanja wa ndege wa jkia kuwa busy east africa baada ya kuua atc kipindi kile,na kukatisha route zalufthansa,british airways na juzi chini ya utawala wa magu etihad,hizi zinaishia nairobi hlf kq ndio inaleta abiria wa hizo ndege dar,hiyo issue ipo hata kwenye upande wa meli za mizigo,sasa hivi msc azifiki dar na mozambique,zinaishia msa hlf kuna wataliano wezi wana vimeli vyao ndio vinaenda huko kuchukua container na kuzileta dar,while msc inaweza kuja mpk dar ila wajanja wametafuta route ya kupiga pesa,cha kufanya atcl ianze kwenda nairobi ili kupunguza route za wakora wa kq na watanzania wasio wazalendo,kuna lole dreamliner wangeingia mkataba na etihad liwe linaenda abu dhabi hata mara 3 kwa wiki,hiyo route ina abiria wa kumwaga lkn wote now wanapandia na kushukia kenya halafu kq ndio inawaleta dar
 
Back
Top Bottom