Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Utaratibu huo cjui wanaupendea nn Wakenya yn mirangi rangi tu kwenye miundombinu yn washamba kweli kweli, ile flyover ya Ubungo ingekuwa kenya saizi ishapigwa mirangi kila kona wkt concrete ikisimama tu ynyw ni rangi toshaShida mirangirangi km viunga vya barabara za shule


Pia kuna hospitali ya mkoa ipo kule mitaa ya sokoni Iringa mjini c mchezo


Renders wamefichaKuna mtu ana renders za hii kitu..Ni Mabey flyover kama ya Tazara?
Ur infrastructures are so outdatedNairobi parklands bigger than Dar,soo cool
Onesha vyenu vikubwaKwaivo bus terminal ndo maendeleo???mlivyo washamba vitu vidogo vikifanyika mnaona mmefika binguni
Wamuulize Tanasha kati ya Dar na Nairobi ipi tamu watapata majibu, uckute anakuja kisiri siri akijifanya anafuata pesa za matumizi wkt hata akibaki kule atazipata tuDada yao anapenda mabasi ya mwendokasi
"Mimi ex wangu alikuwa anasema kwamba kitu ambacho kinamuumiza akifika Dar es Salaam ni zile mwendokasi (BRT). Alikuwa aniambia hizi mwendokasi zenu zinaniuma, kwa nini sisi tunakosa gari kama zile Kenya. Tunakwama wapi," Diamond said.
Kenya: Diamond Reveals What Tanasha Loved Most About Tanzania



Ukweli wanaujua ila huwa ni viburi ndicho kinacho wasumbua.Wamuulize Tanasha kati ya Dar na Nairobi ipi tamu watapata majibu, uckute anakuja kisiri siri akijifanya anafuata pesa za matumizi wkt hata akibaki kule atazipata tu![]()
Kweli you guys up north are dummies🤦🏽♂️Unlike Dar the fishing village which is confined in a 1/4 of Pwanis region.
Nairobi urban area spreads in 4 regions a.k.a counties I.e Muranga, Kiambu, Machakos & Kajiado.
Even Mombasas urban area spreads in 2 counties Kilifi and Kwale. Dar is just a slum.
The green part is the official Nairobi City(county) boundaries.
HomeView attachment 1498186