Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jamani huu uzi mtakuja kuuuana maaana watanzania tuko vizuri kujibizana na wakenya nao wako moto, tutauwana ndani ya huu uzi, mimi ningekuwa jamiiforums ningeufuta
 
IMG_20200319_170152.jpg
 
kenya tuko na uwezo wa kujenga meli....watu wa tanzania yafaa mshukuru wa kenya tumewajengea meli kadha na tag boats za bandari lenu la port.mabasi ya brt pia muliagiza uku kenya..kubalini kenya is more advanced..https://www.secoafrica.com/hapa-kazi-tu-01/.....angalieni hio video hope meli yenu mulishaipokea.. kutoka mombasa
 
Back
Top Bottom