Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South C
tapatalk_1567704102864.jpeg
 
Hope kitatoka kitu cha maana, on April mambo yatakua bam bam

Uzuri Dar Beach ni nyingi, tutahamia Kawe beach, Mikadi, Kipepeo na zingine za Kigamboni....
Mwanzo wa kufufuka kwa Msasani Beach

Hii pia ni challenge kwa wenye Malls, coz siku za sikukuu siku hizi kunakua na nyomi sana za watu kwenye Malls za Dar kibaya ni kwamba Malls ziko chache af kingine we've no more open spaces for enjoyment

Mihogo ya Coco tutaipata wapi sijui
Wauza mihogo wataamia kawe beach nadhan
 
Back
Top Bottom