Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hatupumziki yan.. bampa to bampa
Hope kitatoka kitu cha maana, on April mambo yatakua bam bam

Uzuri Dar Beach ni nyingi, tutahamia Kawe beach, Mikadi, Kipepeo na zingine za Kigamboni....
Mwanzo wa kufufuka kwa Msasani Beach

Hii pia ni challenge kwa wenye Malls, coz siku za sikukuu siku hizi kunakua na nyomi sana za watu kwenye Malls za Dar kibaya ni kwamba Malls ziko chache af kingine we've no more open spaces for enjoyment

Mihogo ya Coco tutaipata wapi sijui
 
dah hilo nalo neno ,mambo yadhatutupa mkono kwa kweli
 
Hapo kunajengwa bonge la Beaches mithili ya copacabana, nimeona features zake ni balaa, kutakuwa na waterparks kubwa za kutisha, restaurants, public showers, different sports complexes, parking za kutosha na facilities nyingi
Mchoro uko wapi?
 
Hzo n apartment ila tofaut na hyo n vbanda vtupu na hata ukja dar utakutan na apartment uswaz ila cio vbanda
Hiyo bado ni kibera kijana. Najua unataka kuona vibanda kwa sababu vibanda vya kibera ndio kitu cha kipekee kutoka Nairobi mnaweza linganisha nayo Dar is slum
 
...
 
Attachments

  • nai 10.jpg
    nai 10.jpg
    140.7 KB · Views: 15
Hiyo bado ni kibera kijana. Najua unataka kuona vibanda kwa sababu vibanda vya kibera ndio kitu cha kipekee kutoka Nairobi mnaweza linganisha nayo Dar is slum
the funny thing is ive been to dar....enyewe these guys hawana aibu...i just read some comments ,sip my coffee and giggle
 
Kwamba huu uzi umetazamwa na watu milioni tano au???? View attachment 1209803
Huu Uzi ni mwiba, wakora walikimbia lakini nafsi zao zikawasuta
Since 2017, Annael sijui majukumu yamembana au la

Kajisemea kadoda11 na ichoboy01 huu Uzi mpaka Yesu ashuke coz no one accepts that his city is better than the other

Hapa ni more than battle
We're here as giants of EA ( NBO and Dar )

We've to show each other what we're doing interms of development of our cities, ko it's still a way to go
Projects nyingi kwenye majiji haya mawili zimeanza wakati Uzi uko hai na zimekamilika wakati Uzi bado una trend

5 Millions Views si kitoto, means hili si battle ni more than battle

Let's enjoy our EA city giants ( NBO vs Dar )
 
Back
Top Bottom