Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South C
tapatalk_1567704102864.jpeg
 
Hope kitatoka kitu cha maana, on April mambo yatakua bam bam

Uzuri Dar Beach ni nyingi, tutahamia Kawe beach, Mikadi, Kipepeo na zingine za Kigamboni....
Mwanzo wa kufufuka kwa Msasani Beach

Hii pia ni challenge kwa wenye Malls, coz siku za sikukuu siku hizi kunakua na nyomi sana za watu kwenye Malls za Dar kibaya ni kwamba Malls ziko chache af kingine we've no more open spaces for enjoyment

Mihogo ya Coco tutaipata wapi sijui
Wauza mihogo wataamia kawe beach nadhan
 
Can you name those minor changes? And by the way, wazungu hawakuwa Tanzania enzi hizo?

Waliishi na Kumiliki Nairobi, Huku bongo na UG was their upcountries,
A reason Dar has been built 100% by Tanzanians wakati nairobi hapo hata hayo makengo mostly si mali za Wakenya.
Nairobi was the best city at the moment of independence.
 
Back
Top Bottom