Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slum za dar ni nzuri kuliko slums za nairobi yaani nyumba za dar zina standard nzur sio kama za nairobi ni very poor
 
Mwambie dar hakuna slums, hyo ni mitaa ya watu wenye uwezo wa chini na kuna baadh ya watu wa kati wenye mijengo mizur, lakn mwambie maskini wetu wana nyumba na sio vibanda vya mabox na mabati, mwambie aache umama
Huo uongo unamfaidisha nani haswa
Labda wakenya wenzako wakuamini, kutoka Manzese mpaka mjini kati ni approx. 7 Km halafu kwa usafiri huchukui si chini ya dakika 7 au 8 kufika mjini via best public transport in EA ( BRT )

Haya sasa tuambie with Nganya kutoka Kibera hadi CBD inachukua muda gani kufika?

Same to Tandale pia
 
Where do you expect president to sleep when he visits Dar? A country can not have one state House , that's a government property and it remains a landmark. Countries always have several mini state houses and state lodges.like Kenya we have mini state houses and state lodges in other cities and provinces.
We do have state lodges across the country but no state lodge is the same as IKULU. If the building will be turned into a state lodge, presidents will stay in it just a few times a year! utatoa hela wewe za maintenance mwaka mzima? Ijengwe state lodge sehemu nyingine Dar au Pwani ambayo ni safe zaidi na IKULU iwe kivutio na hivyo, litaumika kuingiza pesa, pia historia yake itatunzwa kwa sababu hata sasa hivi ni watanzania wachache sana ambao wanajua historia ya hilo jengo.
 
Kwamba huu uzi umetazamwa na watu milioni tano au????
Screenshot_20190917_145120.jpeg
 
Haya sasa rudi tena Google Map tafuta distance kutoka Ubungo to CBD
Maana Ubungo sio CBD ya Dar

Ubungo ni lango la jiji mzee baba, ndo kuna stand kubwa ya mabasi nchi nzima ukifika hapo kuna choices kama zote ambapo unaweza kufika sehem yoyote ile ya Dar

Hiyo ndo the biggest entry to the city from anywhere in the country, ukiwa hapo una option 3 za kufika CBD
By BRT, Train au Daladala
 
Back
Top Bottom