Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,626
- 22,004
Kibera mbona upendi kuitaja mkuu,au haipo nairobbery?Wewe mboya nn?....ukitoa hizo building tatu posta,upanga na Kariakoo hazina tofauti na umoja ya eastlands
Kibera mbona upendi kuitaja mkuu,au haipo nairobbery?Wewe mboya nn?....ukitoa hizo building tatu posta,upanga na Kariakoo hazina tofauti na umoja ya eastlands
Hiyo ni ya kawaida sana kwetuhivi hii picha amkuiona au mnafanya makusudiView attachment 1188204
Miti iwe sehemu ndogo,we unadhani dar hakuna miti???. lakini hiyo ya nairobi ni too much..huo si mji ni msituNini hufunzwa shule za tz jameni? Wakati dunia inalia msitu wa amazon ukichomeka na viongozi kuweka mikakati ya GOING GREEN by 2030, mtz anaona ni vibaya jiji kua na msitu na miti mingi kila mahali. Sasa concrete jungle kama darisslum inasaidia na nini? Na hilo hilo jiji lenu ndo litakua la kwanza kumezwa maji sea level zikirise sababu ya deforestation. THINK before you type
Wewe mboya nn?....ukitoa hizo building tatu posta,upanga na Kariakoo hazina tofauti na umoja ya eastlands
Huu ni uchafu gani 😆😆😆😆😆Hiyo ni ya kawaida sana kwetuView attachment 1188224
uchafu gani sasa huoHiyo ni ya kawaida sana kwetuView attachment 1188224
Sasa wewe unafikiria assumption zako ndio kigezo cha venye watu wanafaa kuishi maisha yao? Nairobi inafaa ata kuongezwa miti hadi ikae hongkong flani. Nyinyi kwa masomo yenu finyu endeleeni kukata miti jijini ndio iskue 'too much'Miti iwe sehemu ndogo,we unadhani dar hakuna miti???. lakini hiyo ya nairobi ni too much..huo si mji ni msitu
Anyway amazonia si mji,vichaka vipo vingi tu tz,ukitoka nje ya dar utakuta miti na misitu mingi sana lakini si katikati ya jiji...usisingizie schools,school haikusema vichaka viwe all over the city..
5 million people and the cbd equals westlands
That shit looks like the aftermath of Nagasaki nuclear detonationHiyo ni ya kawaida sana kwetuView attachment 1188224
Ndio matumaini yako yalipoishia hapo😆😆😆5 million people and the cbd equals westlands
Huyo jamaa anaropoka sana.Ndio matumaini yako yalipoishia hapo
Umesema vyema. Unajua wakenya humu sio wazima wa akili kabisa. Wanasema "tower tatu" kwasababu hizo ziko more prominent kuliko majengo mengine cbd. Hawajui ya kuwa cbd ina majengo mengi tu yenye 20+ floors. Usihangaike na wajinga. Waache waonyeshe ujinga wao na siku wakikua wataacha.Huyo jamaa anaropoka sana.
Hajui km Dar ni two times bigger kuliko Nairobi.
Hiyo kariakoo tu nahisi ni sawa na district ya nairob moja.
What the HELL do you want? tupost bila pspf towers, tpa tower na mnf square towers? Kwa taarifa yako, tutaendelea kupost hadi unaingia kaburini. Labda ufanye sijui nini uyang'oe kutoka kwenye foundation zao. Tumeshawahi kuwalalamikia mkipost hizo tower za wachina? mmekosa kingine cha kuflaunt? jitu zima ila akili bado ya kitoto, kua akili maana humo kwenye ubongo ni matope tu yamejaa.As usual the three tower made it to that photo
Pole sana mimi nimezoea hii yenye iko na tatuUmesema vyema. Unajua wakenya humu sio wazima wa akili kabisa. Wanasema "tower tatu" kwasababu hizo ziko more prominent kuliko majengo mengine cbd. Hawajui ya kuwa cbd ina majengo mengi tu yenye 20+ floors. Usihangaike na wajinga. Waache waonyeshe ujinga wao na siku wakikua wataacha.
View attachment 1188406View attachment 1188392View attachment 1188396View attachment 1188397View attachment 1188400View attachment 1188401View attachment 1188403View attachment 1188405View attachment 1188404View attachment 1188402View attachment 1188398View attachment 1188399
What the HELL do you want? tupost bila pspf towers, tpa tower na mnf square towers? Kwa taarifa yako, tutaendelea kupost hadi unaingia kaburini. Labda ufanye sijui nini uyang'oe kutoka kwenye foundation zao. Tumeshawahi kuwalalamikia mkipost hizo tower za wachina? mmekosa kingine cha kuflaunt? jitu zima ila akili bado ya kitoto, kua akili maana humo kwenye ubongo ni matope tu yamejaa.
Haya.Pole sana mimi nimezoea hii yenye iko na tatuView attachment 1188416