Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie Wa Kenya hebu msijifanye hamuoni, jibuni hii post kwanza ndio tuendelee maana mmeikaushia siku ya Tatu sasa sioni majibu, hebu jibuni mapigo hapa nioneee kwanzaa
 
Hv hajui km kule Dubai Abudhabi wakionesha maghorofa yao lazima kile la muundo D lionekane kwasababu lile ni miongoni mwa yale 4 highest sky scrapers pale Dubai???
Au hajui hilo huyu jamaa
Kabisa, waemirati wangekuwa humu wasingeweza kuishi bila kupost Burj Khalifa au Burj Al Arab Jumeirah. Sasa namshangaa huyu mwendawazimu.
 
Miko to k'nyama ...
Hii city no babkubwa
DMIZmZTXkAATHm5.jpg
DMIZmZDXUAE2jSb.jpeg
 
Nyie Wa Kenya hebu msijifanye hamuoni, jibuni hii post kwanza ndio tuendelee maana mmeikaushia siku ya Tatu sasa sioni majibu, hebu jibuni mapigo hapa nioneee kwanzaa
Sasa unapoleta picha ya parliament yenu with such an ugly design na picha ya university of Dar es Salaam unataka tukujibu nini?
 
Like seriously!!!!?

Ama kweli huijui Dar, uliza hata wakenya wenzako waliowahi kufika Dar wakuambie kama CBD ya Dar (Posta included) kuna kitu kama hicho

Posta is another world kwa Dar imejitenga kweli kweli from those areas you want to show

Kisa Kibera ipo karibu na CBD ndo unataka kufananisha na Posta kwamba ipo karibu na those houses!!!? umechelewa bro
 
Back
Top Bottom