Tunataka kilio chenu wakenya kuhusu maendeleo ya tz kiende hadi Asia na ulaya nao waanze kulia maana hizo treni hata wao awana tunazo nunua wakija bongo lazima waseme wa tz ndiyo watu weusi pekee Africa wenye akili
Na zaidi ya hapo technical issues waachiwe wataalamu tunaweza sana kujiendesha usifikiri jpm ndio anafanya kila kitu tunafanya wenyewe yeye anaimani kua tunaweza na tunafanya kweli na ndio maana tukilegalega anawaka unless otherwise mbona angelala tu usingiziHapo manaake tuombe Jpm atuachie katiba itakayombana raisi ajaye, co hii inayompa madaraka ya kuamua anachotaka
Eeeh lakini fresh tu asa hivi magu namuelewa kishenzi yan na kura yangu kapata...Ulikuwa jipu mzee baba 😷😂😂😂
Kuna certain company wangefanya kwa around nusu.600 million. Ipo Mbweni
Hayo mazingira joh,LDC kamiliKanda yaziwa Viwanja vipo
Nikuviboresha tu Na kuweka Nyasi Nzuri
Hao watu 80 Elfu Geita wapo!
Upande wangu nijambo zuri lakini sio wakati wake
Hiki ni cha Tabora
View attachment 1451456View attachment 1451457View attachment 1451458
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ukisoma comments humu ndo utaona hakuna umuhimu wa mpka wa Kenya na Tanzania.. na watanzania wamefurahia hii mipaka kifungwa
Wewe unatafuta nini humu si mmefunga border🤣🤣Hayo mazingira joh,LDC kamili
Jpili ndio siku anayopenda kuongea ngoja tusubiri.Natamani kesho JPM atoe kauli kuhusu hawa Nyagau
Hawa wakenya lazima tuzae nao mwaka huu, af wanaogopa sn mana vituko vyote wanavyofanya baba katulia tu.Wewe unatafuta nini humu si mmefunga border[emoji1787][emoji1787]
Hawa wakenya lazima tuzae nao mwaka huu, af wanaogopa sn mana vituko vyote wanavyofanya baba katulia tu.
Hao wakaazi wajengewe apartment kama 8 za gorofa kubwa
Send by APOLO 1