ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐
unaonesha wivu hadharani ๐๐๐
Vituko gani we bi mdogo? Vituko ni kununuliwa na wachina hivyo vichwa vya mbogo vya karne ya 19 wakati tupo katika karne 21. Mchina kawafanya mazombi kwelikweli. Na kwa hiyo kujenga reli ambayo haitumii umeme ndio mmeangalia mbali au siyo? Ndio maana nakwambia mna akili za chag'aa I see!Hahaa!!insha yote hii kumbe umeandika pumba tu, kwn unafikiria zile stesheni zimejengwa kw ajili ya kuhudumia miaka miwili mitatu..
Kisha bado una drag kw udogo na wakati mm siongelei hko...
Yani huoni kabisa mnajengewa vituko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao acacial ndiyo wezi Wa madini ya tz walikuwa wanaiba tz wanajenga Kenya?kweli magu kakomesha Kenya wezi wa tanzanite walikuwa wamejificha KenyaNafurahi sana nikiona unaumia hivyo![]()
![]()
![]()
Now see my current location.
View attachment 1448522
Google Golden Square Syokimau
Huu mwaka Magu amezidisha umaarufu wake binafsi na wa nchi, haina English hapa mwendo kiswahili tu, watatafuta dictionary km hawataki wasifatilie yetu wabaki na yaoMwendo wa kiswahili watatafsri wenyewe. Kama huna mvuto hata uongee kiingereza kushinda Queen hamna atakaye kusikiliza.


























Nilidhani ni bullet train,kumbe in locusts train ๐ ๐ ๐ ๐ซ๐น๐ฟ![]()
VS
![]()
unapaswa unyamaze mzee!
Nilidhani ni bullet train,kumbe in locusts train ๐ ๐ ๐ ๐ซ๐น๐ฟ
Unaongelea treni wakati hata kichwa kimoja hamna..Vituko gani we bi mdogo? Vituko ni kununuliwa na wachina hivyo vichwa vya mbogo vya karne ya 19 wakati tupo katika karne 21. Mchina kawafanya mazombi kwelikweli. Na kwa hiyo kujenga reli ambayo haitumii umeme ndio mmeangalia mbali au siyo? Ndio maana nakwambia mna akili za chag'aa I see!
Hebu compareNilidhani ni bullet train,kumbe in locusts train ๐ ๐ ๐ ๐ซ๐น๐ฟ