Ndiyo hizo ndio station za SGR yetu au wewe unataka ziweje? Sisi hatuna akili za matope kama nyie ambao mna-invest mahela kibao kujenga decorated stations maporini ambako abiria ni kiduchu badala ya hizo hela ku-invest kwenye electric trains. Sisi hela zetu nyingi tumeinvest kwenye electric trains badala ya kui-invest mahela kibao kwenye station hizo ndogo ndogo.
Kama mtataka kufanana na sisi (eletric trains) itawacost sana kuliko sisi itatucost fedha kidogo kulinganisha na nyie kama tukitaka kumodify hizi stations dongo kama tutaona kuna ulazima wa kufanya hivyo in future. Tunachohitaji kwa sasa ni performance nzuri ya railways zetu both SGR na MGR. (We think and Act Big)