ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
👇👇👇👇👇Soma kidogo comment ya mwenzako upate funzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1443142
Sent using Jamii Forums mobile app
👇👇👇👇👇Soma kidogo comment ya mwenzako upate funzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1443142
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaona alama ya ulizo hapo kwenye hiyo comment!Soma kidogo comment ya mwenzako upate funzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1443142
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcouse Ni upumbavu kafanya ofisi na hospitali ni mbingu na ardhi!
![]()
Yn amenishangaza sn[emoji3][emoji3]Hujaona alama ya ulizo hapo kwenye hiyo comment!
limekuwa dimbwi la kambale!
imebakia shimo la choo si bora waeke zile flying toilet za kibera na mathare😂😂😂
Sio mbaya pia, jiwe naye kasemaje[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kajieleza poa tu[emoji122][emoji122][emoji122]wenye akili zao wanajiuliza[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Huwezi force tufanane[emoji1787][emoji1787]alaf huku munaonywa [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] uchumi umekalia kuti kavu
Jamaa alikua bado ana shauku na hyo comment yake, lkn ukitumia akili kidogo jinsi hzo pesa walivyozitoa utaelewa tu..Hujaona alama ya ulizo hapo kwenye hiyo comment!
Sasa ndio nimeamini km definition ya hospitali kwenu ni mjengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ofcouse Ni upumbavu kafanya ofisi na hospitali ni mbingu na ardhi!
![]()
Ignorance tu na wakati unajua fika nini kilichowakumba hao jamaa..
Shangaa pia na huo ugawaji wa hzo hela[emoji1787][emoji1787]Yn amenishangaza sn[emoji3][emoji3]
Magufuli ni #3 trending video YouTube Kenya, huyo joho Hakuna mtanzania anamjuaHahaha!!imekuuma sio[emoji1787][emoji1787]
Jamaa alisifika kote kote kisha..
Fuatilia habari kwanza kabala ya kupayuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Interchange zinaweza kuwa popote, hata katikati ya jiji, inategemeana na mahitaji.Hii sawa ila, Dar haina mpangilio. Station ya Gari Moshi katikati ya jiji, a whole interchange katikati ya jiji dahhh!!!Kw
Kweli kabisa nilitaka kusema hili kwamba czani km hzo pesa zitakuwa za bure, ila cna shaka na Mkuu
Yes na pia hela uliyoomba...let us see next few weeks tujue..mimi kiukweli sitamani tuchukue hij hela natamani tutumie reserve zetu..feels like hii hela inaweza kusamehewa tukikubali chanjo zao(just conspiracy not valid proven info)
Dr. Abassi ameshasema fedha hizo zinamasharti ambayo serikali haiko radhi nayo.wizara ya fedha ilishatuma barua kuomba mkopo. hao IMF kila wiki board inakaa kikao kuapprove mikopo kwa nchi mbalimbali. nenda account yao ya twitter @IMFNews utaona
[emoji3][emoji3][emoji3]
LOL poorer of the poorest Kenya, nchi inanuka ufukara kila angle[emoji3][emoji3][emoji3]