sijakuelewa badoWapi?
Hiyo barsijakuelewa bado
iko dar inaitwa havocHiyo bar
Hahaha!!imekuuma sioLOL usimfananishe Magufuli na takataka


Hahaa!!ugua pole pole tu, mwenzako keshaandika we ukijiskia futaNo evidence no right to say!
😂😂😂😂
Nadhani benpol atakusaidia, manake katolewa sananarudia tena atokee mkenya yoyote alete club kama hii kenya nzimaView attachment 1442927View attachment 1442928View attachment 1442929View attachment 1442930View attachment 1442931View attachment 1442932View attachment 1442933View attachment 1442934View attachment 1442935View attachment 1442936View attachment 1442937


failed state watu wanalalamika hawana chakula👇👇👇Wameongezewa pesa ya kununua chai na vitafunio 😂
tafuta kenya nzima ukipata let me know 😂😂😂😂 leta ile florida ya mombasa inanuka jasho mwanzo mwisho
Meanwhile sie ni kazi tu!
Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, et
Akiongea na watanzania ukanda huu wote wanamsikiliza
Tofautisha africa na dunianiJoho ali trend hata zaidi ya jiwe hapa afrika ma hicho hicho kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
nani anamjua joho africa 😂😂😂Tofautisha africa na duniani