Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaitwa ushamba ama lack of exposure thinking "your mother's food is the best"
Nilidhani ulitaja mahali eti wewe club hauendangi, umerudi nyuma?, ama ni vipicha ume google?., kuna kipindi mtu alileta hapa lorry za kuzoa taka mjini za kisasa akidai Kenya hazipo na mwingibe akaweka speed gun akisema mitambo kama hizo bado hazijafika Kenya, Kenya iliendelea mapema mbele ya nchi zikingine EAC (by African standards), vitu niliviona in the 90s., nikiwa primary., Ichoboy tembea wacha kusifu tu vya kwenyu ukifikiria ndio mwisho wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iliendelea kwa lipi nashangaa nchi iliondelea leo hii inarudi nyuma 😂😂😂😂 huwez kuendelea wakat 21st century munatumia treni za 19th century alaf useme umeendelea huo ni ushuzi wa bata
 
Sina hasira., covid19 iishe tutafutane., utafurahi sana, hapa ni mahali pa mjadala, opinions with facts kiasi na kutaniana, mtu wa hasira hapa atakimbia., hakuna kitu serious hapa at all.,

Sent using Jamii Forums mobile app
magufuli anawakuna sana vichwa vyenu 😂😂😂😂 hamuna raha wala amani
 
Hii sawa ila, Dar haina mpangilio. Station ya Gari Moshi katikati ya jiji, a whole interchange katikati ya jiji dahhh!!!

Wabongo nyie mkianza kupata barabara kama za Nairobi hamtolala kabisa.

Yaani mkija kupata barabara zimepita pande zote kama hizi Nairobi, hamtolala
IMG_20200507_152948.png

IMG_20200507_152951.png

Nairobi hupata barabara mpya karibu kila weekend.
IMG_20200506_185910.jpg
 
Inaitwa ushamba ama lack of exposure thinking "your mother's food is the best"
Nilidhani ulitaja mahali eti wewe club hauendangi, umerudi nyuma?, ama ni vipicha ume google?., kuna kipindi mtu alileta hapa lorry za kuzoa taka mjini za kisasa akidai Kenya hazipo na mwingibe akaweka speed gun akisema mitambo kama hizo bado hazijafika Kenya, Kenya iliendelea mapema mbele ya nchi zikingine EAC (by African standards), vitu niliviona in the 90s., nikiwa primary., Ichoboy tembea wacha kusifu tu vya kwenyu ukifikiria ndio mwisho wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
huwez sema iliendelea wakat leo munaonekana washamba 😂😂 leo mchina anawajengea reli na treni zimetumiaka miaka 50 nyuma alaf useme mumeendelea baada ya kuona mchina kawacharaza ikaonekana bora iishie machakani no way, leo hii mukiri kua mumerudi nyuma huku tano tena jubilee ikiua uchumi wa kenya 😂
 
Hii sawa ila, Dar haina mpangilio. Station ya Gari Moshi katikati ya jiji, a whole interchange katikati ya jiji dahhh!!!

Wabongo nyie mkianza kupata barabara kama za Nairobi hamtolala kabisa.

Yaani mkija kupata barabara zimepita pande zote kama hizi Nairobi, hamtolala
View attachment 1443081
View attachment 1443080
Nairobi hupata barabara mpya karibu kila weekend.
View attachment 1443082
hii ndio homa ya jiji hakuna east and central 😂😂😂👇👇👇👇👇
890585D3-4856-459E-A8D2-7E88214100C0.png
58F4DA98-C101-4DE7-8492-65708DB2AB07.jpeg
2C1B7AC1-D551-4ED0-9DEA-9234DB9D425F.jpeg
DCF529F3-6A9A-4DD5-8FCD-D2E37850BD7F.jpeg
3E24452D-2754-45F7-BBA6-0B472A316D18.jpeg
 
....ulisoma vizuri?., (by African standards).., kuna vitu mnafanya kisa mnadhani sasa mko mbele ya Kenya lakini wapi., negative news by free n somehow liberal media za kwetu zinafanya mnadhani mko sawa kutushinda in comparison to your carefuly selected news reports, controlled by the propagandist regimepole mko hovyo na hamjui., tunajaribu kuwaeleza tu, kubali ukweli.
iliendelea kwa lipi nashangaa nchi iliondelea leo hii inarudi nyuma huwez kuendelea wakat 21st century munatumia treni za 19th century alaf useme umeendelea huo ni ushuzi wa bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....ulisoma vizuri?., (by African standards).., kuna vitu mnafanya kisa mnadhani sasa mko mbele ya Kenya lakini wapi., negative news by free n somehow liberal media za kwetu zinafanya mnadhani mko sawa kutushinda in comparison to your carefuly selected news reports, controlled by the propagandist regimepole mko hovyo na hamjui., tunajaribu kuwaeleza tu, kubali ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwakua hata BRT mulianza kujenga nyinyi😂 yani hua munajioma muko mbele kwa akili finyu lakini hua hamujui kua muko nyuma sana tena munazidi kurudi nyuma 😂😂 hvi ni nchi gani leo inaeza kukubaki kujengewa SGR ya miaka 100 iliopita nchi gani hata uganda wamekataa 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom