Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tumeenda mombasa sasa 😂😂😂😂 siwezi kukuletea dar wakat mwanza inakusubiri👇👇👇
E600F3BE-E0B8-4798-9289-8DDB910D9192.jpeg
0A5199F4-3AE8-4C98-A0ED-5D94164996A5.jpeg
53C3E643-33C2-40BD-8936-4040E97542D1.jpeg

FDE84BDB-62D6-444F-9C6C-5A116FA1D384.jpeg
 
There`s no room for you to preach, unafikiri sisi uliotukuta humu hatujui kitu?. unajua nini kilisababisha kuanzishwa kwa thread hii?. ushauri U ARE new to this forum you better have a sit and see what`s happening. it will by other ways be a better chance for you to learn something from your seniors. vinginevyo hatuhubiriani humu tunalinganisha NAIROBI na DAR.
Seem my massage has clearly understood. Am happy for that
 
Seem my massage has clearly understood. Am happy for that
Unajisumbua tuu mkuu, wengi walikuja kwa style km yako na wakapita, yn hii thread ni moja kati ya threads bora humu Jf, imewazndua sn watu hasa Wakenya waliokuwa wanadhani WaTz wamelala ila wao wapo macho, kumbe vitu kwa Ground ni different, af ndg huu ushauri wako nadhani ungepeleka kwenye majukwaa mengine humu Jf, watu wanatukanana, wanatuma picha chafu, tofauti na humu, watu tunaelimika kupitia huu uzi, tunajua mambo yanavyokwenda nchini na nchi jirani, hv leo kuna mtu alikuwa haijui Dar lkn kupitia huu uzi kaijua, vivyo hivyo kwa Nairobi na maeneo mengine, hvyo ucpoteze mda wako bure, watu humu tupo makini zaidi ya unavyoweza kufikiri, ukiona jukwaa huna manufaa nalo nenda majukwaa mengine yapo mengi ndugu, zaidi ya hapo unatafuta shali na utalipata.
 
Wewe unakabusara. Unajua watz na wakenya ni wamoja ila tu wakoloni walitutenganisha. Sema wakenya wanadharau sana watz, na hasa wakati wao wenyewe umasikini wao umekithiri! The government can't look after its poor citizens, yet they brag that they are all that, shame on them. Kama uki compare kenya na TZ utaona kenya kuna umasikini zaidi na slums nyingi kupindukia. TZ hakuna slums kama kenya. Mpaka leo viwanja vipo kwa ajili ya masikini kwa bei nafuu kuliko ukilinganisha na kenya ambapo land yote iko owned na few corrupt bastard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu, cku hz wana adabu sn kwa WaTz, hii thread na mitandao ya kijamii mingine imewaamsha ubongo, unajua wakenya ni wapumbavu sn yn broken English iliwafanya wadhani wapo juu, ss gepu tunalokwenda kuwapiga hawatasahau na itafika kpnd watatuogopa sn
 
Cargo Planes zinatabia ya kuruka na kutua various aiports ..mfano inaweza ikakusanya hapa ikaenda Sudan ikakusanya then via Dubai to Amsterdam..ndo most of cargo planes zinavofanyaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nina uhakika kutahitajika cargo plane ya kufika ulaya moja kwa moja maana wale wanatumia hub n spikes concept yaani kama consignment ya fresh flowers, vegetables and fruits then a big whole order inafika Amsterdam au Brussels kabla ya kusambazwa.

ET passenger plane juzi ilikuwa inasomba around 30 tonnes of fresh flowers n vegetables out of 42 tonnes it can lift per trip meaning ukichanganya na minofu ya samaki na nyama na chance ya kutua Mwanza na Songwe airports tutahitaji direct flight kwenda Europe pretty soon.

Hii iliyonunuliwa yenye maximum take off weight (MTOW) ya 186 tones imekaa kwa ajili ya ku-serve market za India na middle east. Hilo la kutua na kusomba cargo si kwa fresh produce mzee!
 
Machakos County Headquarters is bigger and better than the State house in Tanzania
View attachment 1440539
Unfortunately that office of Machakos governor is bigger than Kenya's Statehouse

Funny enough bigger than Machakos level 5 county hospital itself as political occult n a syndrome of grandiose self mentality is true manifesting itself!

D5EJ2xgUYAAlb4g
 
wanaangalia uchumi na uwezo wa nchi kulipa deni ili kupewa hela kubwa???
View attachment 1442097
Yes na pia hela uliyoomba...let us see next few weeks tujue..mimi kiukweli sitamani tuchukue hij hela natamani tutumie reserve zetu..feels like hii hela inaweza kusamehewa tukikubali chanjo zao(just conspiracy not valid proven info)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes na pia hela uliyoomba...let us see next few weeks tujue..mimi kiukweli sitamani tuchukue hij hela natamani tutumie reserve zetu..feels like hii hela inaweza kusamehewa tukikubali chanjo zao(just conspiracy not valid proven info)

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tuchukue tuingize kwenye infrastructure projects like SGR for example!
 
Back
Top Bottom