hehe huyo anafaa kupima mkojo lazma atakua na shida😂😂😂😂
http://mwtc.go.tz/uploads/publications/en1588592456-HOTUBA - WUUM (2020-21).pdfIngia Bunge website utapata kila kitu!
Machakos County Headquarters is bigger and better than the State house in Tanzania
View attachment 1440539
Nyumba za baba yako hizo? Wacha ufala wewe! Angalia watu wanaokotwa barabarani na Corona amtaki kuwahudumia.![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
mm nakuonesha ww mpuuzi ambae ulikuja hapa ukashabikia au umesahau leo?? ohh nye nye nye ohh sijui kwann magufuli yupo chato leo unajitia mwendawazimuWewe ni mjinga tu. Unaongelea Kenya wakati wewe hujui hata kinachoendelea kwenu kwa siku sita sasa
ww huoni maajabu au nikawaida kwenu hali kama hio???Accident ni corona? 😂 😂 😂 😂
Ni lini nilizungumzia huyo mzee wenu? Kuwa kwake chato inanihusu nini? Nilikuuliza mbona unawashwa na data za Kenya wakati wewe hujui kinachoendelea kwenu karibu wiki moja sasa?mm nakuonesha ww mpuuzi ambae ulikuja hapa ukashabikia au umesahau leo?? ohh nye nye nye ohh sijui kwann magufuli yupo chato leo unajitia mwendawazimu
Danganyika ndio hakuna accidents? Mwenzako alisema ni coronaww huoni maajabu au nikawaida kwenu hali kama hio???
Na Kwanini mtu akianguka Tz mnakimbilia kusambaza video humu na kusema ni corona?Danganyika ndio hakuna accidents? Mwenzako alisema ni corona
Wale hufa na kuzikwa usiku. And the people involved are dressed to cover the whole bodyNa Kwanini mtu akianguka Tz mnakimbilia kusambaza video humu na kusema ni corona?
Usiruke swali,Wale hufa na kuzikwa usiku. And the people involved are dressed to cover the whole body
Ndio umepata hiyo??? Yaaani unaona kama ni sawa??? Ichoboymwanza 😂😂👇👇👇
View attachment 1440567
ww juzi uliongea nn humu ndani usijifanye mwehu umesahau sindio, ulikua ukishabikia nn acheni chuki na tanzania hamuiwezi na hamutaiweza mark my wordsNi lini nilizungumzia huyo mzee wenu? Kuwa kwake chato inanihusu nini? Nilikuuliza mbona unawashwa na data za Kenya wakati wewe hujui kinachoendelea kwenu karibu wiki moja sasa?