komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hospitali ya amana sai inahudumia wagonjwa wa aina ganisio kila anaefariki ni corona kwan vifo havikuwepo kabla ya corona??? au kabla ya corona palikua hakuna maradhi yanaua watu, hebu tufikiri kidogo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app


