ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ilala huiwezi ndio napoishi mm hapo ni kubwa na ndio kariakoo ya pili hio ๐๐๐๐
ilala huiwezi ndio napoishi mm hapo ni kubwa na ndio kariakoo ya pili hio ๐๐๐๐
Kijiko ya nyama ndio iko density jamaniupperhill ina density gani hvi nyinyi mwatufanya sisi wageni nairobi au hatuna akili hvi munajua maana ya density![]()



Tunaitumia mtaani na tunapona hamna shida na najitahidi kuisambaza kwa kadri niwezavyo WaTz wote waitumie.Sasa ndio uipeleke hyo taarifa kw wizara waanze na wale wa corona..
Wakipona ndio itakua ni vyema zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiendekeza hizi propaganda za Kunyaland tutaishia pabaya! Kilichopo sasa ni kuchafuliwa na Kunyaland kutokana na vita ya kiuchumi baada ya Kunyaland kuona ikipoteza biashara ya kupeleka biashara nchi za Landlocked kwa hatua ilizochukua wakati Tanzania ikiamua kivingine! Hili la watu kufa Amana japokuwa inaweza kuwa ni Coronavirus haimaanishi huko Nairobi watu hawafi namna hiyo! Huko slums hali ni mbaya juzi tumeona wizara yao ya maji inajaribu kupeleka maji kwa emergency!ni kweli lkn kuna namna watu wanapungua kwa kufariki kimya kimya, nina ndugu yangu anasema rafiki yake amefariki Amana jana, uchumi unaendelea vizur lkn tuhuthibiti huu ugonjwa, pia sisi wenyewe tujikinge kwa kuvaa masks kila siku
Mipango sio matumiziHii round mtatia adabu....ndio hizi zingineView attachment 1436783View attachment 1436784
Sent using Jamii Forums mobile app
Post ya mtu ndio mwiba jamani, nikuletee wale walioipondoHeheheheheeee, mwiba huo



ilala huiwezi ndio napoishi mm hapo ni kubwa na ndio kariakoo ya pili hio![]()


Dar uswazi ndio umetapakaa wacha kudanganya watu hapaHuwezi fananisha Dar na Nairobi mzee, tofauti ipo kubwa hasa km tutaangalia view, Dar ina density kubwa ila Nairobi ina pori sehemu kubwa sana, haina maghorofa mengi km Dar.
hakuna mgao wa umeme tanzania umepanic tayar ๐๐๐๐
Hapa hawapapendi..huoni kuna mmoja tayari keshatokwa na povuMgeni lazima aseme hivyo kwa kuwatia moyo lakini kwa ground hamna kituView attachment 1437292
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐๐
Cbd yao ndogo km piritonHiki kitu kidogo kuliko Kilimani ndio unataka kufananisha na Nairobi yoteView attachment 1437296View attachment 1437299
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haitabadilisha ukweli km posta ni ndogo km piritonfrom CBD to westland ni km ngap na kutoka CBD to upper hill ni km ngap nasubiria jibu![]()


hebu ipambane na upper hill alaf tuone kama utatoka wima humu ndani๐๐๐๐
uhehehe from CBD to upperhill 3km alaf from CBD to westlnd 3km alaf bado munashindana na dar๐๐๐๐๐
Hicho kijiko kiende kikalie nyamahebu ipambane na upper hill alaf tuone kama utatoka wima humu ndani![]()


Vitu kw ground ni different..hakuna mgao wa umeme tanzania umepanic tayar![]()

unaogopa sio ๐๐๐๐
umepanic hua nafurah sana vile mkikasirika ๐๐๐๐
Amana wagonjwa wa pumu watoke wapi na wakati walihamishwa tayari kumebaki wa corona tu..kuna pumu, kuna nimonia, kuna TB etc au zilikua hazipo kabla ya corona???