Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Salamu za Mei mosi toka kwa Amiri Jeshi akiwa mapambanoni pale Chato! 🙄 🙄






MY TAKE
Ila anayemshauri huyu baba Mungu anamuona! Kuna watu political instinct hazipo, wapo walipo out of political accident!
 
Bongo kuna vilaza wengi hadi shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Vilaza ni hawa hapa sifa nyingi bado wanapewa msaada wa chakula, na muombe hili janga liishe la cvyo mtaumbuka sn, na hv mnavyotukela cjui mtapata wapi chakula cha huruma, maana cc ndio huwa tunawaonea huruma tunawauzia bei rahisi, but after this disaster mctegemee kuwa tutawapa chakula mijitu yny wivu na roho mby km nyie, mtaendelea kuomba mpk mtaolewa
 
$30 billions investment
IMG_1588320836.436649.jpg

IMG_1588320846.957706.jpg

 
Back
Top Bottom