Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta kama hiki hko juu ya mlima Kilimanjaro, come on,,
Kwani hicho kipo kwenye mlima Kenya??? Huijui Hata Geography ya nchi yenu. And you are right kuhusu uniqueness ya attractions that every country holds. Sasa kuniquote picha zangu kuonyesha “equivalent” ya attractions zetu huko Kenya ulikuwa una Maana gani?
 
Bandari mpya kwala ipo good to go

Bandari ya Tanga yaanza kupokea misururu ya meli mpya baada ya kurefushwa kina

Hali ya ship traffic yarudi kwa kasi bandari ya Dar baada ya Corona effects

TRC yashusha gharama za kubeba container kwenda Zambia, Rwanda, Uganda kwa zaidi ya 40%

 
Nairobi ina CBD zaidi ya nne na pia ukiangalia hiyo map ya Dar nimejumuisha Posta,kariokoo, upanga na ilala na bado hazifiki Kilimani. Then cheki Westlands ilivyopana yani mara mbili ya Posta,upanga,kariokoo na ilalaView attachment 1426136

Sent using Jamii Forums mobile app
siku utapata oificial source kwamba nairobi ina CBD nne mm ntakua mtu wa kwanza kufunga acc jamii forum 😂😂😂😂😂
 
Nairobi ina CBD zaidi ya nne na pia ukiangalia hiyo map ya Dar nimejumuisha Posta,kariokoo, upanga na ilala na bado hazifiki Kilimani. Then cheki Westlands ilivyopana yani mara mbili ya Posta,upanga,kariokoo na ilalaView attachment 1426136

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni vitu common sana,look at unique things in the world like thisView attachment 1426215View attachment 1426216
msaidie mwenzako kuleta official source kua nairobi ina CBD nne siku mutapata mm niwe wakwanza kufunga account jamii forum😂😂
 


EWB8c78WAAAioI6
 
so within three weeks imetoka 23 imefika 21 huoni maajabu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta mtu akufundishe economics uone impact yake
Naona hata economics kumbe hata heri mimi, yani hujui pesa inacheza wewe..
Kabla ya hta hzo wiki tatu tayari february ilikuwa ishawai hit 23...
So we jikanganye tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umeenda shule wewe? Kwa nini una-measure ukubwa wa kitu kwa distance? Kwani unapima urefu wa barabara? Tumia units za Square kilometers au square miles kupima area ya CBD zote mbili Ndio ulete hapa.
Sasa tukiweka kwa square kilometers ndio utakimbia toka kwa hii forum....yani dar bado sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom