Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio maana nikauliza imefufuliwa lini ATCL [emoji23][emoji23] alipopost mwenzako ile upuuzi ukshabikia ww unawivu na roho mbaya trust me
Huyu hasa hasa kinachomsumbua ni wivu ila roho mby anayo yule mwingine anayejiita teargrass mjinga sana yule.
 
dream house
4A02B93F-AA7D-4871-9898-C7C43AA22764.jpeg
 
Huyu hasa hasa kinachomsumbua ni wivu ila roho mby anayo yule mwingine anayejiita teargrass mjinga sana yule.
mzee wa kuhesabu floors nilimbananisha kwenye GTC hana hamu hakuonekana tena baada ya kugundua ukweli😂😂
 
atcl imeanzishwa juzi usitegemee profit within a short period of time hasa kwenye big investment kama hio [emoji23][emoji23] muki kwenye game miaka 50 eti bado munamiliki ndege tatu alaf leo munatafuta mchawi wa loss
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20200426-205703_Opera%20Mini~2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond pledges to pay three months rent for 500 Tanzanian households
By Nahashon Musungu
April 26th, 2020 1 min read
  • Share this
Diamond-performs

Bongo Flava recording artiste Naseeb Abdul Juma, popularly known as Diamond Platnumz, performs at Uhuru Gardens, Nairobi on December 31, 2018 to usher in the New Year. PHOTO | DENNIS ONSONGO

Tanzanian bongo flava heartthrob Diamond Platnumz, has pledged to pay three months’ rent for 500 Tanzanian households who have been affected by the stringent measures put in place to fight the spread of coronavirus.
The Jeje hitmaker made the promise on his social media platforms.

“I pretty much know that at these terrible times where we are all fighting global pandemic COVID-19, countless life circumstances have changed especially in businesses, many businesses are drowning hence rendering to financial difficulties and life becoming a little bit tough to many of us,” Diamond said.

“Although I am amongst those affected by this pandemic, with the little that God has blessed me with, I have decided to at least offer a helping hand by paying 3 months house rent to 500 families as my kind gesture of helping one another during these terrible times of fighting COVID-19 for I believe I should share your troubles and your happiness too,” he explained.

Diamond also promised a further announcement on who the beneficiaries of this fund are, and how they will benefit.
Tanzania had by Saturday confirmed 300 coronavirus cases, including 10 deaths.



Diamond pledges to pay three months rent for 500 Tanzanian households
 
Nimeitoa kwa jamaa fulani sio mby ku share nanyi [emoji116][emoji116][emoji116]

Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.

Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.

Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.

Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.

Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.

*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*

Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.

Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.

So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.

So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.

Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii
Tatizo watu wamekuwa brainwashed sana,wamajiona na wao ni wazungu...MUNGU ametubariki kwa hili,dada yangu pia alikuwa na dalili zote za covid amepona kwa tangawizi,limau kwa wingi na maji ya moto yenye mchanganyiko wa tangawizi na mdalasini
 
Tatizo watu wamekuwa brainwashed sana,wamajiona na wao ni wazungu...MUNGU ametubariki kwa hili,dada yangu pia alikuwa na dalili zote za covid amepona kwa tangawizi,limau kwa wingi na maji ya moto yenye mchanganyiko wa tangawizi na mdalasini
Mkuu mm mwenyewe wkt huu ugonjwa unaanza kushika kasi hapa Tanzania nilipata mafua makali mno na kifua, ucku mwili unachemka sn, wala ckujisumbua nkawa natumia kitunguu saumu, tangawizi, asali na habbat soda, hapo nkawa nshamaliza tatizo ndani ya wiki mbili tu.
 
Wiki hii naona asilimia kubwa Tz tumepost vitu vipya tu ambavyo havijawahi kuwekwa humu,

Huku wengine wakirudia rudia vitu vile mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu wakiambiwa Dar ni kubwa wananuna.
Tuliwaambia cc kwmb Dar kuna maeneo mengi hayajawekwa humu wakabisha, ss watu wameshaanza kutupia picha mpya kabisa wanaanza kutoa toa macho humu[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom