Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mwehu uliulizwa a very simple question: Kwamba ATCL imetengeza faida ya Shilingi ngapi. You responded by mentioning turnover. Kwani turnover siku hizi ni profit?? Mwenye aliuliza swali didn't ask about how much the company is making in turnover. He was very specific na akauliza kuhusu profits. But what did you say? Eti how long does it take a company to make turnovers. Turnover ni sales in other words na ni kitu company hupata kila siku as long as they are in the business of selling goods or services
nikakuuliza ATCL imeanza operation lini na kq imeanza lini ni akili ndogo tu😂😂 air tanzabia imefufuliwa juzi tu ilikua haina ndege hata moja sasa unataka wanunue hapo hapo na kupata faida bila kurudisha uwekezaji hvi ww akili yako iko sawa kweli sijapata kuona mkenya kilaza wa size yako
 
Usijisumbue na hyo jamaa, alitaka kukwepa swali tu

Sent using Jamii Forums mobile app
akijibu munitag😂😂😂👇👇👇
nikakuuliza ATCL imeanza operation lini na kq imeanza lini ni akili ndogo tu😂😂 air tanzabia imefufuliwa juzi tu ilikua haina ndege hata moja sasa unataka wanunue hapo hapo na kupata faida bila kurudisha uwekezaji hvi ww akili yako iko sawa kweli sijapata kuona mkenya kilaza wa size yako
 
😂 😂 😂 😂 mibongolala lakini!!! These people are arguing as if ATCL is a brand new company that never existed before. But even if that's true, it's been close to three years now since it was revamped but these guys don't even know how much the company has been making in profits or losses. Cha kushangaza ni kwamba wanajua how much losses KQ is making! We are living in very interesting times. It's akin to mtu ambaye hajui ako na watoto wangapi ila anajua idadi ya watoto wa jirani yake 😂 😂 😂
hapa hutoki mpaka swali ujibu na uelewe😂😂😂👇👇👇👇
nikakuuliza ATCL imeanza operation lini na kq imeanza lini ni akili ndogo tu😂😂 air tanzabia imefufuliwa juzi tu ilikua haina ndege hata moja sasa unataka wanunue hapo hapo na kupata faida bila kurudisha uwekezaji hvi ww akili yako iko sawa kweli sijapata kuona mkenya kilaza wa size yako
 
Yani nakwambia jamii forums huaga sometime naitumia km place ya kuchekea na kuondoa mawazo kichwani..sana sana nikukwaruzana na mamaz wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
unacheka au munaonesha vile ni wapuuzi kabisa na mumeishiwa kq ina miaka mingap leo inaendesha hasara miaka 8 mfululizo munatafuta mchawi wakat munamiliki ndege 3😂😂😂😂
 
I just try to make u understand a company with a turnover of over a $1 bln can be valued btn $2.5 bln n $3 bln! Meaning a son alone can be at least $500 mln worthy! Kirubi level! Mind Bakhresa brothers r many (4-5) a reason the stake is low!

Its like METL group with a turnover of $1.9 bln in 2015, now it is estimated to be at least 4 bln! And Dewji alone worthy $1.6 bln!

“Our vision is that by 2020/21, we want to be a $5 billion revenue company,” said the CEO of the firm also known as METL Group. Revenue was expected to reach $1.9 billion in 2014/15.
Tanzania's METL Group eyes Africa expansion as middle class grows
huyo utahangaika bro hakuna kitu hapo kichwa kimejaa maji 😂😂😂😂
 
type3_1_1.jpg
type3_3_1.jpg
sur_1.jpg
type2_1.jpg
type3_2_1.jpg
mstreet_1.jpg
type1_1.jpg
photo5.jpg
photo2.jpg
type3_1.jpg
rbeach_1.jpg
003_1.jpg
type5_1.jpg

SOUTH BEACH RESIDENCES KIGAMBONI
 
Ndugu hilo suala la accounts achana nalo kabisa, it seems u r a layman kwny hyo sector, so it's better ukaachana nayo tu cz huu uhalo unaoutema hapa ni wa kimataifa kabisa.
😂😂😂😂😂 yani hawa jamaa nimecheka sana mtu anajua kabisa ATCL imefufuliwa juzi na magufuli leo anauliza kwan ina miaka mingap😂😂😂 yani wanataka tufanane ushuzi kisa wao wamekufa sasa wanataka watupake mavi
 
mtu analetewa jumba la kifahari la mtoto wa bakhresa anasema sio tycoon haha akili au matope 😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana komora096 unakazi sana mzee
 
hawa wamebaki kama wasindikizaji
Ss mwishoni mwa huu mwaka ndo tunamaliza hii battle tunaifunga mana tutakuwa tunajirudsha nyuma ku battle na mtu umemzd kila kitu, ilikuwa tumalize mapema ila covid-19 imetuchelewesha
 
Back
Top Bottom