The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kina Oilcom, alafu kuna yule mwarabu ana depot kubwa km bandari pale sabasaba yule nani yulehehehe tanzania kuna watu wapo kimya ila ni moto bro
Kina Oilcom, alafu kuna yule mwarabu ana depot kubwa km bandari pale sabasaba yule nani yulehehehe tanzania kuna watu wapo kimya ila ni moto bro
Hehee!!anshobokewa na wasanii wenu wa bongo..dah nilikosea sana kumweka na huyu muhuni joho
Sn mkuudah nilikosea sana kumweka na huyu muhuni joho
Wealthy maana yake ni kuwa na million ngapi..
endelea kujipa matumaini basi 😂😂😂
hahaahaha yeye ndie analeta shobo hadi kaamua kutupatia mkeHehee!!anshobokewa na wasanii wenu wa bongo..
Yani wanapewa kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mm nilivoelewa tycoon ni mtu tajiri aliepitiliza kiwango yani anauwezo mkubwa sana ndio maana linatumiaka kwa matajiri wakubwa sana hilo nenoWealthy maana yake ni kuwa na million ngapi..
Manale nimeamua kwenda na wewe unavyotaka lkn wacha nipime akili zako km zinafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
world oil, camel oilKina Oilcom, alafu kuna yule mwarabu ana depot kubwa km bandari pale sabasaba yule nani yule
TRH atar uyu jamaa sema hajulikani tu, ni haulage company yn gari zake ni international c mchezo mzee, pia kuna ASAS haongelewi ila c mchezoworld oil, camel oil
Hahaaa!!basi umenoa, ndio manake nikakwambia usome vizuri uelewe...kwa mm nilivoelewa tycoon ni mtu tajiri aliepitiliza kiwango yani anauwezo mkubwa sana ndio maana linatumiaka kwa matajiri wakubwa sana hilo neno
😂😂😂😂👇👇👇 joho tycoon ahahaha kwa leo pumzikaHahaaa!!basi umenoa, ndio manake nikakwambia usome vizuri uelewe...
Tycoon huja na maana nyingi jomba,
-Succesful bussinessman
-Wealthy and powerful(politician)
-Succesful in any industry...like km sekta ya marine ya yule jamaa wa azama hko kwenu..that guy is a tycoon hyo sekta
-sel-made millionare/ billionaire...na aka influence watu wengi sana kupitia kwake
Na pia jina km hilo lina mda wake, sidhani mtu km bill gate unaweza muweka katika category hyo kw sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti tycoon ni mtu tajiri kupindukia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] joho tycoon ahahaha kwa leo pumzikaView attachment 1431766View attachment 1431767View attachment 1431768
Ok sawa nawe piaEti tycoon ni mtu tajiri kupindukia...
Njoo kesho nitakuelewesha zaidi..
Mlale salama wan jamvini, leo ilikua siku yangu ya kukesha jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalo!! 😂 😂 😂 Nway I might not be an accountant but I know that turnovers are not profits. Endelea kutetea kilaza mwenzakoNdugu hilo suala la accounts achana nalo kabisa, it seems u r a layman kwny hyo sector, so it's better ukaachana nayo tu cz huu uhalo unaoutema hapa ni wa kimataifa kabisa.
Tumia dawa hii kwnz acha ku copy wazungu utapotea[emoji116][emoji116]Uhalo!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nway I might not be an accountant but I know that turnovers are not profits. Endelea kutetea kilaza mwenzako
Nimeitoa kwa jamaa fulani sio mby ku share nanyi [emoji116][emoji116][emoji116]
Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.
Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.
Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.
Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.
Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.
*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*
Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.
Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.
So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.
So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.
Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii
Umeumia eti 😂 😂 😂 😂 😂Road km ulimi dadadeki [emoji3][emoji3]
Nyumba za wazungu 😂 😂 😂 😂 😂Yes waendele still nyie mko kwa cages zenu unakunya kunya at kunya land
Nyang'au tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app