ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mtoto wa Mombasa yule hawezi kukosa chura [emoji3][emoji3]
akiwapea mutawezana😂😂😂😂
Mtoto wa Mombasa yule hawezi kukosa chura [emoji3][emoji3]
akiwapea mutawezana😂😂😂😂
Mi naona ikifika comment ya 10,000 huu uzi ufungwe tu maana yamebaki mazezeta mawili tu humu toka Kunyaland na hayana tena point za msingi.Ss mwishoni mwa huu mwaka ndo tunamaliza hii battle tunaifunga mana tutakuwa tunajirudsha nyuma ku battle na mtu umemzd kila kitu, ilikuwa tumalize mapema ila covid-19 imetuchelewesha [emoji3][emoji3]
Joho ni masikini tu jombaaa huwezi kufananisha na hao bakhresa membersHahaaa!!naona joho anakuumiza kichwa sana...
Nenda google ukajisomee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yn hawa waliobaki hawana exposure kabisa mkuuMi naona ikifika comment ya 10,000 huu uzi ufungwe tu maana yamebaki mazezeta mawili tu humu toka Kunyaland na hayana tena point za msingi.
Hahhaa!!yani hyo ni nyumba ya kampuni kubwa inayoaminika hko danzagiza[emoji1787][emoji1787]kitu hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaga povu sasa kama kawa mamaee na ntakuletea jumla la st abri kigamboni ukojoe vzr
Bado unaruka ruka hujajibu swali,unacheka au munaonesha vile ni wapuuzi kabisa na mumeishiwa kq ina miaka mingap leo inaendesha hasara miaka 8 mfululizo munatafuta mchawi wakat munamiliki ndege 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je angewekewa na car collection ya yussuph bakhresa,si ndo angechanganyikiwa kabisamtu analetewa jumba la kifahari la mtoto wa bakhresa anasema sio tycoon haha akili au matope 😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana komora096 unakazi sana mzee
[emoji1787][emoji1787]eti ilianza juzinikakuuliza ATCL imeanza operation lini na kq imeanza lini ni akili ndogo tu[emoji23][emoji23] air tanzabia imefufuliwa juzi tu ilikua haina ndege hata moja sasa unataka wanunue hapo hapo na kupata faida bila kurudisha uwekezaji hvi ww akili yako iko sawa kweli sijapata kuona mkenya kilaza wa size yako
Tulisema cc kwmb cku tukiamua kuipost mijengo ambayo haijapostiwa humu watachoka mana ni mingi mnoodream house[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1431655View attachment 1431656View attachment 1431657View attachment 1431658View attachment 1431659View attachment 1431660View attachment 1431661View attachment 1431662View attachment 1431663View attachment 1431664View attachment 1431665View attachment 1431666View attachment 1431667
Maskini[emoji3][emoji3][emoji3]ni billionare [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si uzitaje hzo tatu na sisi tuzijue[emoji38][emoji38]kq inamiliki ndege ngapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipi kilitokea hadi ifufuliwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atcl imefufuliwa ilikua haina ndege kabisa yani zimenunuliwa ndegw start from the begining ndege 11 brand new do expect hapo hapo uanze kupata faida inamaana shuleni munaenda kusoma upuuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini[emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja niwaachie hapo tu[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
joho afike hapa kwanza 😂😂👇👇Maskini[emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja niwaachie hapo tu[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wooooii!!!kwn atcl ni kampuni ya lini[emoji1787][emoji1787][emoji8]umenunua matatu unatarajia ikulipe within how long swali liko pale pale [emoji23][emoji23][emoji23] miaka 50 munamiliki ndege 3 chakavu alaf munatafuta mchawi wa loss miaka 8
1977 mpaka leo bado hamna profit/loss acounts..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibano kimekukalia sawa sasa[emoji23][emoji23] umerukia kwamba ilianza lini baada ya kupokea nondo
Umekosa maneno ya kuitetea hoja..yani ulikimbia ukafikiria tumelala ndio ukarudi mbio kujifurahisha...uhehehr kibano kama kawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Members wanaotegemea utajiri wa mtu mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Joho ni masikini tu jombaaa huwezi kufananisha na hao bakhresa members