The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
And yet we lead the industry as far as millionaires title is concerned
And yet we lead the industry as far as millionaires title is concerned
Eneheeee....hvi wakitumwa matajiri joho anatoka kwenda mbele hvi ww bro uko serious kwei[emoji23][emoji23][emoji23]
abood mpaka forbes wanamjua vp modern coast😂😂😂👇👇👇Abood hata mtoto wa modern coast hamuingii halafu unaleta nyokonyoko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kitu hyo, level yake ni akina jamaa wa simba coahuhehehe sema mwenye modern coast kwasababu mtoto ndio anaendesha sasa hvi baba yake alichapwa shaba hayupo[emoji23][emoji23][emoji23] abood unamjua lakini vzr au
Kuna watu hawajulikani forbes na wamemzidi tena kwa mbali sanaabood mpaka forbes wanamjua vp modern coast[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1431742
Tupia ile link tena tuisomeAnd yet we lead the industry as far as millionaires title is concerned
Joho level zake kina babu tale, said fella labdahahaha sasa tunamuweka wapi huyu joho mkuu au akina ostazi juma na musoma basi
joho bro hajafika stage ya kuitwa tycoon yani kwa hili tutabishana mpaka asbuhi wakina tycoon kenya ni kama huyu👇👇👇Eneheeee....
Hapa tubaongelea u tycoon, kwhyo inategemea km wanataka level ipi..
Ovias hajafika level ya akina kirubi but still ni tycoon kw sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataja vikaragosi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Joho level zake kina babu tale, said fella labda
Usijali, utaelewa maana ya mtu kuitwa tycoon..pole pole utaelewa tujoho bro hajafika stage ya kuitwa tycoon yani kwa hili tutabishana mpaka asbuhi wakina tycoon kenya ni kama huyu[emoji116][emoji116][emoji116]
Kenyan Tycoon Chris Kirubi Receives Additional $2 Million In BIC Acquisition deal
uhehehe 😂😂😂😂 abood ni another level bro huyo jamaa msikie tu hvi hvi
hajafikia na hafiki leo wala kesho level ya tycoon never ever 😂😂😂Usijali, utaelewa maana ya mtu kuitwa tycoon..pole pole utaelewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
asee kumbe huyu mtu hatari sana eehabood mpaka forbes wanamjua vp modern coast😂😂😂👇👇👇
View attachment 1431742
hehehe tanzania kuna watu wapo kimya ila ni moto broasee kumbe huyu mtu hatari sana eeh
Hamjui Abood vzr uyo, wao wanawajua kina metl, ssb, mengi, gsmuhehehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abood ni another level bro huyo jamaa msikie tu hvi hvi
Atar sn uyo mkuuasee kumbe huyu mtu hatari sana eeh
Huyo hana kitu jomba...uhehehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abood ni another level bro huyo jamaa msikie tu hvi hvi
dah nilikosea sana kumweka na huyu muhuni johoAtar sn uyo mkuu
Level ya tycoon ni pesa ngapi vile[emoji1787][emoji1787]hajafikia na hafiki leo wala kesho level ya tycoon never ever [emoji23][emoji23][emoji23]