The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Tumegusa kila kona ya nchi co Dar Tu, kweli Tz baba laooo [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Sasa hujui hapo wenye matatizo ni nyinyi 😂😂😂over population ndani ya eneo dogo, ndio maana mna ishi kama kuku,Hili eneo halizidi wakazi mia moja ndio unataka ulinganishe na Nyayo estate?View attachment 1423471View attachment 1423472
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha kujidanganya over 90% ya Azam wheat inatoka nje though amekuwa kwenye biashara ya wheat milling longer than METL! Na believe me METL is the largest agricultural land owner in Tanzania na ukiangalia investment anayofanya kwenye palm oil na sunflower plantations, ana chance kubwa in the near future! As far as agroprocessing is concerned, so far METL is doing better than Azam as far as locally input for all of his tea and sisal products is concerned, the raw materials r 100% sourced locally!Azam sidhan kama anaagiza bidhaa nje na kuiweka brand yake kweny hizo bidhaa. METL kuna baadhi ya bidhaa ambazo anachukue nje na kuzileta ndan na kuweka brand yake. Sio kila kitu cha METL kimezalishwa hapa nchini (thou ni vichache ndo vinatoka nje)
Tumegusa kila kona ya nchi co Dar Tu, kweli Tz baba laooo [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
watu wana-encroach Msimbazi valley ndo maana jangwani road ina-floods kila wakati! Hebu angalieni hizo nyumba upande wa Al Muntazir Academy! Hii maneno isifumbiwe macho la sivyo soon maji yatakatiza juu ya Selander bridge!
Mto serikali inatakiwa kuuwekea kingo. Mto uko town huwezi kuuacha kama huko maporiniwatu wana-encroach Msimbazi valley ndo maana jangwani ina-floods kila wakati!
hapana watu wanatakiwa wasifinye mto wauache upite njia yake la sivyo matokeo yake ni kuharibu miundombinu.Mto serikali inatakiwa kuuwekea kingo. Mto uko town huwezi kuuacha kama huko maporini
Nyinyi mnatuombea mazuri? Angalia nyuzi za Joto la jiwe kisha urudi tenaKumbe unatuombea tupate visa vingi!
Ulijificha naona umeamua kujionesha wazi wazi 😂
Halafu aliyekuambia hatupimi nani!
Kwa hiyo kumbe joto la jiwe akifungua nyuzi kuonesha ujinga na uzembe unaofanyika Kenya ni anawaombea mabaya 😂Nyinyi mnatuombea mazuri? Angalia nyuzi za Joto la jiwe kisha urudi tena
Mh mzee inategemea unaongelea nn? Kwa biashara ya electro appliances, mafuta ya kupikia, sabuni na textile METL yupo juu! METL ana the largest oil and fats, textile, sisal products, electroproducts infrastructure in EA, way more superior than that of Azam! Angalia depot zake pale bandarini!
Kwa biashara ya vinywaji na nafaka (yaani dairy, food and milling), real estate, sukari (soon) na logistical services (sea transport as haulage METL is also big there) provision, Azam yupo juu! Ila kila mmoja kaingilia biashara ya mwenzie! Ningependa kuona Azam anaingia kwenye biashara kama za boat construction (wameshatengeneza zaidi ya 10 overseas) au cars assembly! Ukizingatia kuna investment kubwa ($30 bln) kwenye gas business inakuja!
Naona METL anaelekea huko so far ni largest supplier wa local assembled tractors, bajajs n motorcycles! Soon ataingia kwenye magari!
![]()
Sasa hilo ndio tatizo la kuokota picha...naona umeleta kibera kujifurahisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thika kwa Ground [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1422901View attachment 1422903
nilimsikia engineer akisema wanaeka sub balastSidhani kama kwenye madaraja wanaweza sub ballast.
Na huu ndiyo ukweli tukubali tukatae kwenye sekta hii kwa hapa EA hakuna km Azamlakini bakhresa ana biashara nyingi sana bro alaf akianzisha biashara hua inakua biashara kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Huipendi kibera co[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hilo ndio tatizo la kuokota picha...naona umeleta kibera kujifurahisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Then let them do n go into locally ship assembly (they have advantage here) electro appliances na si Biashara za uchuuzi ushindani mkubwa!lakini bakhresa ana biashara nyingi sana bro alaf akianzisha biashara hua inakua biashara kweli kweli 😂😂😂
Alipe kodi kama METL basi!Na huu ndiyo ukweli tukubali tukatae kwenye sekta hii kwa hapa EA hakuna km Azam
Kama ni kujengwa kingo zinajengwa kutoka mahali ambapo mto unaingia kwenye makazi, na kingo huzuia side-erosion na hivyo mto unabaki tu na erosion at the bottom. Tofauti na kuuacha uwe unasambaa kwa sababu kutarundikwa mchanga kwenye bottom coz nguvu ya erosion inakuwa inapungua maji yakisambaahapana watu wanatakiwa wasifinye mto wauache upite njia yake la sivyo matokeo yake ni kuharibu miundombinu.
Soon hapo maji yatakatiza juu ya daraja pale Salender kama yanavyokatiza juu Jangwani creek baada ya DART kuweka depot na wengine Mchikichini na Jangwani ku-reclaim land kwa kuweka kingo!
Na wenye nyumba upande wa Al Muntazir lazima maji yanaingia majumbani! Ukiwa una knowledge ya fluids dynamics utaelewa ninachosema!
Ujenzi wa namna hii kwa hii jetty ya Slipway si sawa! Unazuia waterflow!
![]()
Hyo ndio level yenu middle class wa bongo wa nyuma za tsh 20k[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huipendi kibera co[emoji3][emoji3][emoji3]
Huelewi nachoongea! mimi napinga ujenzi wowote wa kupunguza upana asilia wa mto/stream! wakati wa ujenzi daraja lililopo la Selander jengo nililoanisha halikuwepo radius ya mto imeendelea kupungua siku baada ya siku na si sawa maana ina-force kina cha maji kuongezeka na kupelekea kuzoa madaraja! Tunaona pale Jangwani kinachotokea!Kama ni kujengwa kingo zinajengwa kutoka mahali ambapo mto unaingia kwenye makazi, na kingo huzuia side-erosion na hivyo mto unabaki tu na erosion at the bottom. Tofauti na kuuacha uwe unasambaa kwa sababu kutarundikwa mchanga kwenye bottom coz nguvu ya erosion inakuwa inapungua maji yakisambaa
Kwa hiyo serikali iache miradi ya SGR iende kujenga kingo kwa sehemu ya mto iliyovamiwa na watu kwa maslahi binafsi? Mimi nashauri uvunje zile nyumba pale! kama unajenga ghorofa lile unashindwa nini kuenda Kigamboni na kununua ardhi iliyo mbali na mto?Mto serikali inatakiwa kuuwekea kingo. Mto uko town huwezi kuuacha kama huko maporini