Kufikia 2025 Nairobi itajiuliza sana juu ya Dar es Salaam,Project zote hizi ziko kwny pipeline.New Salender Bridge na barabara zake,Ubungo interchange, barabara ya bamaga-shekilango,Mwenge-Morocco project, stendi ya Mbezi Luis,barabara 8 ubungo-mbezi-kibaha,SGR project,DMPD project,Mzimbazi basin project,Expansion ya Bandari, BRT phase 2 mpk 5 na overpass zake(interchange),Mfaransa ameshaanza kuonyesha interest BRT phase 5 ametuma na team kbs kwa ajili ya kutathimini.Kazi ipo my take,Wakenya wanawekwa kwny hali ya matumaini na wanasiasa wao wanachezewa kama watoto,na wao huwa wanafurahiii ,Project ngapi hapa amekuja nazo mpk uzinduzi umefanyika mwisho wa siku ni mchezo wa siasa.Yaani mimi ningekuwa mkenya ningesubiri kitu kikamilike ndo nichekelee.Usanii umezidi.Wallah.
DART | News