Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 73,000
- 103,887
furahia siku yako😂😂👇👇
manina CBD alone ina density kubwa kuliko CBD yenu changanya na upperhill pamoja na westlandhahaha, this is the whole of dar es salaam, the rest is slum, naona hauna hoja
manina CBD alone ina density kubwa kuliko CBD genu changanya na upperhillhahaha, this is the whole of dar es salaam, the rest is slum, naona hauna hoja
huyu hamuwezi azam 😁😁😁
Hamuwezi kabisa, yn kwny quality hakuna km Azam na km ameingia kwenye industry ya mafuta ya kupikia basi tutegemee bidhaa bora sokoni, binafsi namuona Bakhressa km ndio tajiri namba moja kwa hapa Tanzania ni suala la muda tu.manina CBD alone ina density kubwa kuliko CBD genu changanya na upperhill
huyu hamuwezi azam![]()
tupate kidogo tangazo la utalii
Wakiingia nairobi c wanajaza kamji chote kaletupate kidogo tangazo la utalii


ni kweli hujakoseaHamuwezi kabisa, yn kwny quality hakuna km Azam na km ameingia kwenye industry ya mafuta ya kupikia basi tutegemee bidhaa bora sokoni, binafsi namuona Bakhressa km ndio tajiri namba moja kwa hapa Tanzania ni suala la muda tu.
Mh mzee inategemea unaongelea nn? Kwa biashara ya electro appliances, mafuta ya kupikia, sabuni na textile METL yupo juu! METL ana the largest oil and fats, textile, sisal products, electroproducts infrastructure in EA, way more superior than that of Azam! Angalia depot zake pale bandarini!manina CBD alone ina density kubwa kuliko CBD genu changanya na upperhill
huyu hamuwezi azam 😁😁😁
Sidhani kama kwenye madaraja wanaweza sub ballast.hapo zinakuja sub balast alaf inakuja reli then wanamalizia na balast