Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiv class ya middle income country ya kenya mlitoaga wap?[emoji23][emoji23]

IMF inawatambua kenya kama low income country [emoji23][emoji23]

sema Tanzania inadharauliwa sana, lets wait and see what will happen in 2021
View attachment 1419020
ndo maana kila siku nagombana na watu wanaotaka kum-distract JPM yaani wamuache kabisaa amalizane na mipango yako! Baada ya hapo ndo tunaweza kukosoa! I pretty believe tuko in a right track!
 



EVlBBd4XgAc7Goc


EVlBCNkXkAAMENA




#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
 
Kweli yaani angalia hata hii ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡CBD ya Nakuru, kafinyu then wanaleta picha moja za jengo moja moja kumbe kamji kenyewe ni level ya Musoma town View attachment 1418760
Oneni huyu chizi,anadhani hii dyo town yote,where is "one tower",merica hotel,,????
Baada ya Kisumu kula dozi kali kwa Arusha mmehamia Nakuru ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa shuhudia nakuru kipigo itachopewa na Moro town, mji kasoro bahari ๐Ÿ’ช
Ebu rudia tena,kisumu
images - 2020-04-10T225751.361.jpeg
images - 2020-04-10T231201.463.jpeg
27790667658_1fec96e7af_h.jpg
images (65).jpeg
46895134672_b9d0c27ede_b.jpg
CSg3xH4.jpg
CzFQVrC.jpg
 
mbona deni dogo linawatoa uharo[emoji23][emoji23][emoji23]
Lini wachina walisema hatujawalipa au tumeshindwa kuwalipa..
Yani hapa ni hoja tu wala sio maneno ya khanga, tuone nani ataanza utoto..

Niletee link hapa tuliopewa onyo ya kukosa au kuchelewa kulipa deni lao kutoka exim bank of china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom