ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😂😂😂😂👇👇👇Lini wachina walisema hatujawalipa au tumeshindwa kuwalipa..
Yani hapa ni hoja tu wala sio maneno ya khanga, tuone nani ataanza utoto..
Niletee link hapa tuliopewa onyo ya kukosa au kuchelewa kulipa deni lao kutoka exim bank of china
Sent using Jamii Forums mobile app